- Thread starter
- #81
AiseeSerikali I we kwenye orodha ya vikundi vya waasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AiseeSerikali I we kwenye orodha ya vikundi vya waasi
Well nailed 👏 👌Sijui kama kuna Mtanzania mwenye akili zake anayeamini ulaghai huo. Hata maana ya Ujamaa ilikuwa ni siri ya Nyerere mwenyewe. Hakuna Mtanzania anayeweza kuielezea kwa ufasaha.
Kujitegemea? After >60 years of independence, misaada na mikopo nafuu ikisimamishwa mwaka mmoja tu nchi hii inaanguka chali! Nchi zilizoazimia kwa dhati kujitegemea tangu 1961 ziko dunia nyingine sio ya LDCs.
Hayati Magufuli hakuwa mzalendo bali manipulator na propagandist mkubwa.Utakuwa na mental problem mkuu. Mnanilazimisha nimseme vibaya comrade Mh. Membe, hapana. Dkt Magufuli alikuwa mzalendo namba moja. Choko ka wewe wala hutusumbui kwa sababu ni mjinga fulani usiyekuwa na mbele wala nyuma kwa sababu you’re biased and misinformed. So kaa na huo ujinga wako wa kushangilia vifo vya viongozi. Ukome kabisa kujibizana na mimi choko mkubwa na uliyejaza mavi kichwani maana kama huwezi heshimu hata mtu aliyekufa wewe ni choko na punga.
Wewe ndiyo upo manipulated bosi. Uwezo wako kichwani ni mdogo na umejaa chuki binafsi.Hayati Magufuli hakuwa mzalendo bali manipulator na propagandist mkubwa.
Ila alifanikiwa sana kuwakamata ninyi wafuasi wake akili.
Kwa matendo yake, tunayo yote sio siri, Mwendazake alikuwa mwizi, fisadi, muuaji na mwendawazimu.
Hiyo ndio legacy yake.
Toa hoja. Jibu hoja kwa hoja.Wewe ndiyo upo manipulated bosi. Uwezo wako kichwani ni mdogo na umejaa chuki binafsi.
Kichaa pekee ndiye anayeweza kufikiri kama weweNi wakora tu na walozi, hakuna itikadi ni mamburura tu yanayoweka matumbo yao mbele
Alikuua? Au kakuibia nini?Toa hoja. Jibu hoja kwa hoja.
Magufuli alikuwa muuaji, mwizi na mambo kama hayo.
Wewe na hayo mamburura mna files MirembeM
Kichaa pekee ndiye anayeweza kufikiri kama wewe
Swali lako halistahili kujibiwaAlikuua? Au kakuibia nini?