Sukuma liwe kabila tambulishi la mtanzania

Joannah

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2020
Posts
20,921
Reaction score
49,014
Jamani kwema?

Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa

1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake

2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa

3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha🙄🙄🙄 mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu

4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote

5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania

6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani 🤦🤦🤦yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku

7.WAKAKA
Sijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
8.MAJI
Jamani bunge la bujeti mwaka hii lielekeze fedha za kutosha kwenye wizara ya maji ndugu zetu wapate maji safi na Salam,kweli huku Kuna maji hayana tofauti na chai ya maziwa.
9.UTANI
Jamani Hawa watu wanataniana jamani ukisikia na Ile lafudhi yao utacheka mpaka machozi

Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hapo juu Sina mtandao
 
Jamani kwema?

Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa

1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake

2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa

3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha🙄🙄🙄 mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu

4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote

5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania

6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani 🤦🤦🤦yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku

7.WaKAKA
SIijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hap juu Sina mtandao
Bila shaka wewe ni ngosha.
 
Magufuli ndo kawaharibia CV. Wasukuma ukweli ni watu wakarimu sana na tumeishi nao, ni watu walikuwa hawana shida na mtu.

Ila baada ya ujio wa Magufuli, taswira dhidi ya wasukuma imebadilika sana.
 
1. Watanzania wote ni wakarimu, mpaka pale utakapovuka mipaka

2. Lazima washangae sana, na sio wao tu, vijijini kote wapo hivyo. Maana huwa hakuna interaction na Jamii zingine

3. Lazima wapende lugha yao maana hawajui kiswahili fasaha, hasa huko vijijini.

4. Lazima wapende baiskel, maana hela ya mafuta hawana

5. Wadada lazima wawe wakarimu, maana wanahisi unaweza kuja kuwa wifi yao.

6. Wanavaa jezi, sio sababu ya kupenda mpira, Bali ni Bei rahisi.

NB: Am not so serious, sasa ole wenu wasukuma mje wangu wangu 😅😅
 
Halafu nilitaka maswali yaelekezwe kwako pia maana ni jirani zako...utanisadia kujibu maana network ni tatizo
 
Wasukuma wameanza kuvuka mipaka sasa, au tuwaachie Mwanza na kanda ya ziwa yote iwe Kuja Dar kwa passport??
IMG-20230530-WA0017.jpg
 
Jamani kwema?

Mambo yasiwe mengi ngoja niende kwenye Jambo lenyewe,Katika hekaheka nazopewa na mwalimu ulimwengu wiki hii nimejikuta nipo usukumani ndani kabisa,nimekutana na kina Ngosha original achana na Hawa kina Ngosha wa mjini kina Shimba ya Buyenze ,kiukweli nimefurahi Sana kufika huku nikaona hivi kwa Nini watanzania wote tukiwa nje ya nchi si tujiite tu WASUKUMA?
Nimejifunza vichache kwa siku mbili nilizokuwapo hapa

1.WAKARIMU SANA
Hawa watu wanahitaji kuolewa hongera,imagine nimefikia nyumba ya wageni,kufika saa moja usiku nijiandaa nitoke nikatafute chakula Nasikia nagongewa mlango,kufungua namkuta dada aliyetupokea na sahani mkononi ananikabidhi, nikamwambia hapana utakuwa umekosea sijaagiza chakula akaniambia hapana nimepika nimekuletea mgeni wali na "sansa"nikajiuliza hiyo sansa itakuwa nyama ya porini ngoja nipokee,kufungua nikakuta mboga ya majani imeungwq karanga kuonja hakika ilikuwa tamu Sana,Asubuhi nataka kutoka kaniambia dada Subiri unywe uji na matobolwa,nikajua hayo matobolwq yatakuwa sijui ni maandazi,nikasema ngoja Nile tu,nikazugazuga nikasema sawa basi nikapewa uji na viazi vitamu Ila vimeandaliwa tofauti vilikuwa vitamuu kumbe ndio mabolwa,,basi nikala nikasema huyu hajui watoto wachalamila kwa Ganda la ndizi...Ila kesho nikiondoka nitampa wekundu mmoja nimependa ukarimu wake

2.WANASHANGAA SANA
Jamani Hawa watu wanashangaa kuliko kawaida,Yaani wanashangaa Hadi na Mimi nikaanza kujishangaa

3.WANAPENDA LUGHA YAO
Yaani watu wanapenda lugha yao hatari,eti wananisalimia kingosha🙄🙄🙄 mimi najua Sasa nabaki natoka macho tu

4.WANAPENDA BAISKELI
Jamani na miongo yangu kadhaa hapa duniani nilikuwa sijui baiskeli Zina matajiri ya kila rangi,jamani kina baiskeli huku Zina matajiri mekundu,ya Njano,ya kijani,ya purple ya blue,hizo baiskeli zimepambwa na maua,usiku zinawakawaka Kama Xmas tree na zimefungwa redio... baiskeli huendeshwa na watu wa rika na jinsia zote

5.REDIO ZA MKONONI
Jamani Kila mtu kabeba kiredio mkononi kinaimba kisukuma,sijajua hao wasanii wa hizo nyimbo zao wako wapi..huku sijasikia Amelowa Wala Salome yaani unaeza dhania hauko Tanzania

6.WADADA
Ama kiukweli wadada zao wanaushirikiano Sana,timu niliyoongozana nayo kikazi na furaha sana maana wameambiwa wajisikie nyumbani 🤦🤦🤦yaani huku ningekuja na swahiba wangu bwana mzabzab angelowea huku

7.WaKAKA
SIijui ni wapenzi Sana wampira au lah,Kila kijana kavaa jersey,Kuna jezi za kika Ligue huku kuanzia la Liga,bundesliga,CAF Hadi za wale waliovunja uwanja juzi,yaani kwenye Vijana 20 wasiovaa watakuwa watatu
Jamani Wana mambo mengimengi Sana,nashauri raisi ajae awe tu NGOSHA maana ni taifa kubwa
Maswalj atajibu huyo ndugu yao hap juu Sina mtandao
Kama ni mweupe subiria mahari ya ng'ombe 100 mayu
 
Halafu nilitaka maswali yaelekezwe kwako pia maana ni jirani zako...utanisadia kujibu maana network ni tatizo
Wao wenyewe wakifika Dar, hawataki kujulikana kama ni Wasukuma. Sembuse sisi Taifa tujitambulishe kama Wasukuma? 😅😅

Kuna msukuma mmoja alipendaga t shirt niliyokuwa nimevaa. Akaniuliza nimeinunua wapi, nikamtajia sehemu pamoja na bei (ilikuwa 14k). Jamaa akaenda direct mpaka pale akamwambia muuzaji "Naomba ile t shirt ya elfu 14" 😅😅

NB: Sipo serious jamani, kina Ngosha msije wangu wangu 😅😅
 
😂😂Una utani na wananzengo wewe..au hata zile jezi watakuwa wananunua duka moja kwa staili Kama hiyo Nini?
 
Back
Top Bottom