TANZIA Suleiman Methew afariki Dunia

🤣 🤣 🤣
 
RIP
 
Kuna watu wanaweza kuwalaumu chadema kwenye hili na kumpomngeza nani....
 
Acha kuingiza upuuzi wenu wa siasa kwenye msiba wa watu
 
Hutaki hata wasifu wa Marehemu?
Wasifu wa marehemu ni muhimu sana kwa desturi zetu, Unadhani hicho ulichoandika ndio wasifu wake? Huoni kama hujamtendea haki yeye na ndugu zake?
 
Wasifu wa marehemu ni muhimu sana kwa desturi zetu, Unadhani hicho ulichoandika ndio wasifu wake? Huoni kama hujamtendea haki yeye na ndugu zake?
Unaambiwa Maisha ni kama kitabu cha hadithi, sasa katika maisha jitahidi kutengeneza hadithi nzuri, kama umenisoma vizuri nimeandika kwamba "pamoja na mengi" atakumbukwa kwa kuisaliti Chadema, katika hayo mengine yapo unayoyapenda wewe, lakini kama nimeandika uongo basi bila shaka nitakuwa nimekosea, sasa Je nimeandika uongo?

Ifike mahali nyeusi iitwe nyeusi na nyeupe iitwe nyeupe, kufichaficha mambo hakutasaidia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…