Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #41
AliuguaNini sababu ya kifo chale jmn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AliuguaNini sababu ya kifo chale jmn?
🤣 🤣 🤣Erythrocyte ni Mjinga fulani Hivi
Methew alikuwa Beki namba 5 pale Yanga na akina Godwin Aswile lakini baadae akahamia Simba na ilikuwa poa tu
Methew alikuwa kijana wa Membe na ile Chadema Kusini wote walikuwa watiifu kwa Membe na hata Wenje, Lema na Zitto ni vijana wa Membe
Methew kuwa CCM au Chadema hakuleti tofauti yoyote kwa sababu Master ni yule yule 😀😀
RIPAliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam.
Methew atakumbukwa kwa mengi ikiwemo Usaliti wake kwa Chadema, chama kilichompa Jukwaa la kuwania Ubunge baada ya kutupwa na CCM bila huruma, Chadema ndio iliyomtoa jela baada ya kufungwa kwa njama za Jiwe kwa tuhuma za kufanya Mkutano wa hadhara bila kibali
Pamoja na yote hayo na heshima yote hiyo Methew akaisaliti Chadema na kuhamia CCM na kupokelewa na Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.
APUMZIKE ANAPOSTAHILI KUTOKANA NA MATENDO YAKE HAPA DUNIANI, Amina.
Pia soma
Kabisa halikuwa kosa, nimejaribu tu kuweka wasifu wakeKuhama CHADEMA haikuwa kosa. Apumzike kwa amani
Tumbo lilimuuma ghafla akafanyiwa upasuaji AmanaAliugua
asanre kwa TaarifaTumbo lilimuuma ghafla akafanyiwa upasuaji Amana
Kuna watu wanaweza kuwalaumu chadema kwenye hili na kumpomngeza nani....Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam.
Methew atakumbukwa kwa mengi ikiwemo Usaliti wake kwa Chadema, chama kilichompa Jukwaa la kuwania Ubunge baada ya kutupwa na CCM bila huruma, Chadema ndio iliyomtoa jela baada ya kufungwa kwa njama za Jiwe kwa tuhuma za kufanya Mkutano wa hadhara bila kibali
Pamoja na yote hayo na heshima yote hiyo Methew akaisaliti Chadema na kuhamia CCM na kupokelewa na Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.
APUMZIKE ANAPOSTAHILI KUTOKANA NA MATENDO YAKE HAPA DUNIANI, Amina.
Pia soma
Kabisa yaaniSasa kahamia asikoweza kuhama tena.
Picha hujaiona mkuu!Mtuwekee na kapicha ili na sisi wa Katavi tumuone.
Acha kuingiza upuuzi wenu wa siasa kwenye msiba wa watuAliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kusini na Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya soka Suleiman Methew Luwongo Amefariki Dunia.
Taarifa zilizosambazwa kwenye vyombo vya Habari, zinaeleza kwamba Bwana Methew amekutwa na umauti huo kwenye Hospitali ya Rufaa ya Temeke, Dar es salaam.
Methew atakumbukwa kwa mengi ikiwemo Usaliti wake kwa Chadema, chama kilichompa Jukwaa la kuwania Ubunge baada ya kutupwa na CCM bila huruma, Chadema ndio iliyomtoa jela baada ya kufungwa kwa njama za Jiwe kwa tuhuma za kufanya Mkutano wa hadhara bila kibali
Pamoja na yote hayo na heshima yote hiyo Methew akaisaliti Chadema na kuhamia CCM na kupokelewa na Samia Suluhu Hassan, ambaye ni Mwenyekiti wa CCM.
APUMZIKE ANAPOSTAHILI KUTOKANA NA MATENDO YAKE HAPA DUNIANI, Amina.
Pia soma
Hutaki hata wasifu wa Marehemu?Acha kuingiza upuuzi wenu wa siasa kwenye msiba wa watu
Wasifu wa marehemu ni muhimu sana kwa desturi zetu, Unadhani hicho ulichoandika ndio wasifu wake? Huoni kama hujamtendea haki yeye na ndugu zake?Hutaki hata wasifu wa Marehemu?
Unaambiwa Maisha ni kama kitabu cha hadithi, sasa katika maisha jitahidi kutengeneza hadithi nzuri, kama umenisoma vizuri nimeandika kwamba "pamoja na mengi" atakumbukwa kwa kuisaliti Chadema, katika hayo mengine yapo unayoyapenda wewe, lakini kama nimeandika uongo basi bila shaka nitakuwa nimekosea, sasa Je nimeandika uongo?Wasifu wa marehemu ni muhimu sana kwa desturi zetu, Unadhani hicho ulichoandika ndio wasifu wake? Huoni kama hujamtendea haki yeye na ndugu zake?