clinical pharmacology2
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,387
- 2,516
Kama huyu ndiye kiongozi wa kwanza kutawala mda urefu zaidi uarabuni, tuambie wa pili ni nani?Sultan Qaboos Said Al Said Wa Oman afariki duniaView attachment 1319007View attachment 1319008
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ama unazingua ?Sijawahi kumsikia Sultani Kwabuzi mpaka wiki iliyopita wakati anaeleke kufa.
Huko kuheshimiwa nchi zote hizo labda wangeongelea pwani za Pemba, Unguja, Mombasa , sio Tanganyika. Nobody in Tanganyika heard of this Sultani Kwabuzi guy much less kumuheshimu. Huku hatuheshimu ma sultani anyhow.
Na Tanganyika haijawahi kuwa chini ya himaya ya Oman wala Sultani Kwabuzi. Straighten up the history.
The guy rules an oil-drenched territory for 49 years and builds no hospital to treat him when dying sick because he can hop on a private jet to a Belgium hospital any moment he needs to. Useless, narcissistic dictators of the third world.
Moyo wako umejaa chukiYou dont care and you are here with your hateful diarhea.
Talking about slaves? Just don't forget the first slave to Americas was called Jesus.
Your ignorance of history does not erase the truth that once upon time, your so called "hinterland" was called Sultanate of Zinjbar and Oman.
Erase that if you can.
Mkuu Oman haina mafuta,,,pia kansa haina Cha hospital Kama imeshafika terminal stage
Hata ulichokisoma hukielewi. Kaa kimya.Moyo wako umejaa chuki
Unaonesha wazi upeo wako ulivyo finyu. Kubishana na watu wajinga kama wewe bi mzigo, sina time hiyo. Huna ulijuwalo na huna zaidi cha kuandika.Hujui uhusiano umeanzia wapi ,mkoloni wewe yule na bingwa wa kuuza watu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
And who brought "slaves" into this thread? You start with "slaves" and we reminded you, the first slave ship to America was called Jesus, now you wonder what brought it?the heck does Jesus come into this discussion ???
Mkuu Oman haina mafuta,,,pia kansa haina Cha hospital Kama imeshafika terminal stage
the heck does Jesus come into this discussion ???
unabwabwaja kama mlevi!! unaleta maneno ya kashfaHata ulichokisoma hukielewi. Kaa kimya.
huyu mama kuna wakati anaonekana ana busara!!She is STUPID!Anajaribu kufanya kila comment kuhusu nchi za kiarabu kuwa about Ukristo Na uislamu .Kama chizi vile,ignore her anyway
Sent using Jamii Forums mobile app