Sultan Qaboos wa Oman afariki dunia. Sultan Haitham Bin Tariq Al Said achaguliwa kuwa mrithi wake

Afu watu wanashindwa elewa wa Oman kwa East Africa wapo wengi tu zaidi ya Zanzibar/Mombasa na wengi wapo ‘hinterland’ kuliko sehemu hizo za pwani kwa idadi (japokuwa machotara wa ki Oman ndo wengi zaidi)

Nashangaa hata wa Oman wengi wanajua ukisema umetoka Africa wanachukulia ni Zanzibar tu

Njoo Tanga, Mtwara,Lindi, baadhi ya sehemu Morogoro na nyumbani kwao sasa Tabora/Shinyanga (Shelui, Igunga, Nzega, Choma, Tinde, Itobo, Bukene, Nata, Mwangohe, Isaka, Kagongwa,Didia, Urambo, Sikonge, Mabama, Kaliua Sangilwa , Maganzo,Malampaka,Shagihilu nk) kuna jamii kubwa ya wa Oman sehemu hizo achia mbali Karagwe mpaka Rwanda na Burundi

Kwahiyo kwa baadhi ya jamaa zetu leo ni msiba mzito kwao ni WaTanzania kweli lkn pia historia yao inafungamana na Oman na ndo maana hakuna nchi nje ya Afrika na duniani kwa mtanzania yoyote huwezi kupata shida ya lugha ya Kiswahili zaidi ya Oman (Nina ushahidi kwa hili na mpaka vijijini kabisa nimefika Oman) kati ya watu wanne hauwezi kosa mmoja anaejua kiswahili na kuna wengine wanajua Kiswahili hata hawajafika huku wamejulia nyumban sababu wazazi wao wanaongea kiswahili labda kizazi hiki kiishe ndo kiswahili kwao kitaanza kupotea
 
Nashangaa hata wa Oman wengi wanajua ukisema umetoka Africa wanachukulia ni Zanzibar tu ...

Ndio ukweli ...

Wengine hao..wana mpaka majina wamepewa...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani Zanzibar wamgefahamu maana ya jina hili kiarabu wangelifuta. Zinjibar kiarabu ni watumwa
 
Hahaha, You are typical narrow minded African.. Mkuu hujasoma ukafahamu au chuki za uchuia Warabu zimekuzidi...

Huyu Sultan yuko tafauti na Warabu wengine kwa jinsi alivyofanya mageuzi katika nchi yake..

Oman ni moja katika nchi zinazo heshimiwa katika Dunia,.. Ndio kenda kutibiwa Belgium hiyo haimaanishi Kuwa hakuna Hospitali Oman
 
Siyo jambo zuri kufanya mapinduzi, tena unampindua baba yako wa kukuzaa, kisa unataka kuleta mabadiliko. Si sahihi, halafu yeye kakaa kwenye ufalme zaidi ya miaka 35! Halafu hajaoa, na hana mtoto! Seriously! Anyway... Kweli Masultani wanajua kujitukuza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbele yake nyuma yetu,Apumzike kwa Amani Sultani Qaboos bin Said.
 

Uko nyuma sana ww
 
Kumbe wanna mafuta,siku zote najua hawana,maana hata OPEC hawapo


Kuwepo OPEC ni kutaka mwenyewe.

Biggest oil producers in the world, USA, Russia, Canada, China, Brazil, Mexico hawako OPEC.

Oman wana mafuta kuliko Libya!

Halafu, kama nilivyosema, ni kama wa Zanzibar, wakimwagwa Dar es Salaam hawajai. Lakini bado tegemezi.

Mtawala kakaa miaka 49, anakufa akitibiwa Ujerumani na Ubelgiji, hana madaktari, hana vifaa tiba vya mionzi ya kuchoma chembehai za saratani. Shameless, heartless tyrants. To hell with Sultani Kwabuzi.
 

Ameisha tangazwa mrithi wake na ni cousin yake Haitham


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
halafu yeye kakaa kwenye ufalme zaidi ya miaka 35! Halafu hajaoa, na hana mtoto! Seriously! Anyway... Kweli Masultani wanajua kujitukuza

Hebu try kugoogle kabla ya kuropokwa vitu usivovijua.. Kwa taarifa yako huyu Sultan aliomuoa cousin yake ndoa ilidumu miaka 3 lkn hawakujaaliwa kupata mtoto. Stop judging Vitu vengine ni mipango ya Mungu wangapi hapa Tz wapo kwenye ndoa na hawana watoto? Na kuhusu kutoowa tena ni maamuzi yake binafsi huwez jua maisha yake ya ndoa yalikua vp mpk kuamua kufa bila mwenza.
 
Weka na cv yake

11 Jan 2020
Muscat, Oman
The New Sultan of Oman: Haitham Bin Tariq Al Said Sultan Qaboos chose Haitham Bin Tareq Al Saeed to lead Oman His Majesty Sultan Haitham bin Tariq bin Taimur Al Said was chosen as Sultan of Oman to succeed the late Sultan bin Qaboos bin Saeed who died Friday evening.

Born in 1954, Sultan Haitham Bin Tariq was Minister of Heritage and Culture of the Sultanate of Oman. He is the cousin of Sultan Qaboos Bin Saeed. Sultan Haitham Bin Tariq Bin Taimur Al Said served as a special envoy to the late Sultan Qaboos Bin Said on different occasions and held various positions in the Ministry of Foreign Affairs.

He served as the Undersecretary of the Ministry of Foreign Affairs for Political Affairs from 1986 to 1994, and later appointed as the Secretary General for the Ministry of Foreign Affairs (1994–2002).

A 1979 graduate of the Oxford University Foreign Service Programme.

He was the first head of the Oman Football Association in the early 1980s and is known as a sports enthusiast. Sultan Haitham is the Chairman of the committee for the future vision of "Oman 2040″.

He is also the honorary president of the Oman Association for the Disabled and the honorary president of the "Omani-Japanese Friendship Association
 
Hata wasukuma ambao ndugu yao Sulayman aliyezaliwa Mwanza na kusoma Mwanza kuwa waziri mdogo wa mafuta Oman bado hawamjui? Au mdogo wake aitwae Maliki tajiri mkubwa Oman? Au yule Abdalla Al Sukri ambae garage yake Oman ilikuwa ikitengeneza adi magari ya mfalme? Unafikiri kwanini waomani kiasi cha asilimia 60 wanazungumza kiswahili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…