Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Naaam siku hizi kumejaa wauza sura tu.Mleta mada imefafanua vizuri sana , hongera sana.
Naunga mkono hawa ndugu kama wapo wapewe pongezi zao kwa kazi zao, kazi zao zikuwa jana lakini leo na kesho hata kesho kutwa zitabaki kuwa bora kuliko kazi zinazofanywa leo.
Ikiwezekana pia wasitoe kwa upya kipindi hiki, maana ukienda kwenye maduka ya filamu kuipata shumileta ama insyuka itakuwa vigumu sana.
Pia wanaweza kuzitoa kwa mfumo wa sasa tofauti na Cd ama vhf na pia zikawa HD.
Yote kwa yote zilikua ni nyakati zenye filamu nzuri kuliko nyakati zote .
Jina la uigizaji anaitwa Mikala ,jina halisi nimelisahau.Cindy na Candy hivi yule demu anaitwa nani,?
ππππππππMbona umemtaja kiwepesi hivyo.Nasikitika kuwaambia Chawa wa Mayweather leo kaongea ukweli mtupu.
Kivipi mkuu?nani tena kaliwa hapa..?
Tutumie short clip. Sema huyo mzee alikuwa mwanga sana πππππππππNimetoka kuangalia "Mzee wa Busara", Zigi alipata shida kweli. Nairudia sehemu ya pili. Nikimaliza nitatoa mrejesho.
Nimetafuta sana igizo la "Tetemo" ila sijaliona, kama kuna yeyote anayefahamu namna ya kulipata naomba anisaidie.
Kosa lake ni kukiuka makubaliano na shetani angekuwa hai Hadi leokanumba alikuwa smart sana na alikuwa anakuza vipaji.
Move kama
Moses never say Never
Offside
Devil kingdom
Oprah
My sin
Sultan na Maneno ni mtu na kaka yake na walikuwa wanafanya kazi kwa kusaidiana ila mtu ambaye alikuwa ana play part kubwa ni Sultan.Naona umechanganya mambo. Sijajua kama unafahamu kuwa Sultan Tamba ni tofauti na Tamba Arts Group, kundi ambalo lilikuwa chini ya Dk. Maneno Tamba (pale Magomeni). Maneno alikuwa kaka wa Sultani.
Hili kundi la Tamba ndiko alikoanzia Mussa Banzi kabla hajaanzisha kampuni yake. Hivyo mengi uliyoandika kwenye bandiko lako hayana ukweli, na hujui chochote kuhusu film industry...
Hizo stori za vijiweni hazina uthibitisho wowote.Kosa lake ni kukiuka makubaliano na shetani angekuwa hai Hadi leo
Hizo ni nadhariaKosa lake ni kukiuka makubaliano na shetani angekuwa hai Hadi leo
sawa leta ya ukweli tukupe sadaka bishopNaona umechanganya mambo. Sijajua kama unafahamu kuwa Sultan Tamba ni tofauti na Tamba Arts Group, kundi ambalo lilikuwa chini ya Dk. Maneno Tamba (pale Magomeni). Maneno alikuwa kaka wa Sultani.
Hili kundi la Tamba ndiko alikoanzia Mussa Banzi kabla hajaanzisha kampuni yake. Hivyo mengi uliyoandika kwenye bandiko lako hayana ukweli, na hujui chochote kuhusu film industry...
Dah umenikumbusha mbali sanaTamba Arts group walikuwa wanajua kuigiza kweli. Nimependa jinsi ambavyo waigizaji wao ambavyo walikuwa hawaogopi kamera na walijua kuigiza uhusika kwa kiasi kikubwa.
Nipo kuangalia Fungu la kukosa, Riyama kauvaa uhusika sana, Dimoso naye akiigiza kulewa mambo yanakuwa mwake mwakeπππ. Kwasasa naendelea na ahadi ya yule mwanamke aliyemgonga Dimoso aliyeahidi kuwajengea nyumba (Mr. and Mrs. Dimoso)
Huyo analeta ujuaji mwingi na hana anachokijua.sawa leta ya ukweli tukupe sadaka bishop
Kweli alikuwa hana uwezo?Najua nitapigwa mishale ya kutosha ila kwangu mimi kanumba alikua overrated