Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #81
Na vile visauti wakati wanaimba ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃHii hata mimi niliiogopa aisee๐คฃ๐คฃ๐คฃ.
Sikulala!
SawaHao walikua wanazalisha filamu utopolo kabsa hakuna hata moja nlipenda Toka kwao.
Alikuwa makelele makelele tu ๐๐๐๐๐๐๐๐๐๐For the first time nakutana na mtu ambae ambae tunafanana mawazo kuhusu Kanumba , kusema ukweli sikuwahi kumuelewa yule jamaa ,wakawaida sana Mediocre.
Kuna baadhi ya filamu zipo youtube.Hizi kazi online tunazipata wapi tupige tbt
AiseeVipi mkuu mbona makasiliko ...
Zile za kitambo sana, majina tushasahau kusearch inakua mzozo, japo tunazikubali zile kaziKuna baadhi ya filamu zipo youtube.
Filamu za kitambo zaidi ni shamba kubwa na kibuyu.Zile za kitambo sana, majina tushasahau kusearch inakua mzozo, japo tunazikubali zile kazi
Jeff na Blandina kuna baadhi ya scene walipuyanga
๐๐๐๐๐๐๐๐๐Sikitiko langu ndio ya yule jamaa kipofu..?๐ค๐๐
Old is gold, kanumba alileta umalaya kwenye tasnia hii hakuna kitu oote ya maana
Kama ile movie ya dar to Lagos ipigwe ban watoto wetu wakiangalia watasema ndo English gani ile ๐๐๐๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Kanumba kumbafu sana ๐ฎ๐ฎ๐๐
Alizingua sana๐๐๐๐๐๐Jeff kuruka sarakasi kukwepa risasi [emoji23]
Vilivyoharibu ni hivi;Sijui nini kilikuja kuharibu hapo kati kati, lakini zamani pamoja na uduni wa vifaa vya kisasa ila unaangalia movie unaridhika kabisa.
Aisee kumbe alisha farikiCindy/Candy jina lake ni Jesca Oscarion kwa bahati mbaya alifariki miaka kadhaa iliyopita.
View attachment 2909430
Kibuyu njoo kibuyu njoo. Ilikua bongea la movie nayoFilamu za kitambo zaidi ni shamba kubwa na kibuyu.
Kaka Kuna ile Jamaa ana wachapa fimbo, Ina itwaje hivi??Sultani Tamba movies zake ziliegemea vitisho zaidi ila Mussa Banzi alikuwa anapiga kotekote mapenzi na vitisho.
Kuna movie ya Sultan Tamba inaitwa Wasiwasi, wanaume wawili wanagonga mlango usiku wa manane, mlango ulipofanguliwa wanauliza wapi kuna msiba.
Aliefungua mlango anashangaa na kusema hana taarifa za msiba, wakamuambia msiba upo tena ni wa mtu wako muhimu fanya utafiti utajua. Wanaondoka!
Yule jamaa hakuendelea kulala, akatoka kulelekea kwa mchumba wake anaetaka kumuoa karibuni, kufika tu anasikia kama mtu anaugulia maumivu kupitia dirishani. Kuchungulia anakuta mchumba wake amepigwa kisu cha tumbo.
Akaenda haraka kwenye mlango mkubwa ambao ulikuwa wazi akaingia ndani amuokoe ila ikashindikana.
Mama yake na yule binti nae akaamka maana alisikia sauti na kukurukakara, kuingia kwa binti yake anakuta keshakufa na mchumba wake ndio kashikilia kisu.
Ikaonekana yeye ndio kaua jumba bovu likamuangikia.
Na kuna nyingine inaitwa Miwani meusi!