Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

Sultan Tamba na Mussa Banzi Chukueni maua yenu japo bado tunawadai muendelezo wa baadhi ya filamu. Kanumba alichangia kuua soko la filamu

Hii hata mimi niliiogopa aisee🤣🤣🤣.

Sikulala!
Na vile visauti wakati wanaimba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Chite ,Chite Ukae
Chite ,Chite Ukae
Anhaaa,Chite Ukae

Anhaa,Chite Ukae

😂😂😂😂😂noma sana.
 
Sikitiko langu ndio ya yule jamaa kipofu..?🤔😂😂

Old is gold, kanumba alileta umalaya kwenye tasnia hii hakuna kitu oote ya maana

Kama ile movie ya dar to Lagos ipigwe ban watoto wetu wakiangalia watasema ndo English gani ile 😂😂😂🚮🚮🚮

Kanumba kumbafu sana 🚮🚮👎😃
 
Andiko zuri sana lakini usibeze mchango na jitihada za Kanumba kwenye tasnia ya filamu Tanzania.

Sijui nini kilikuja kuharibu hapo kati kati, lakini zamani pamoja na uduni wa vifaa vya kisasa ila unaangalia movie unaridhika kabisa.

Muziki umekuwa wa hovyo, filamu ndio usiseme hadi Mwijaku na Chris Mitindo wanaigiza, miaka iko mbio sana kweli kweli.
 
Sikitiko langu ndio ya yule jamaa kipofu..?🤔😂😂

Old is gold, kanumba alileta umalaya kwenye tasnia hii hakuna kitu oote ya maana

Kama ile movie ya dar to Lagos ipigwe ban watoto wetu wakiangalia watasema ndo English gani ile 😂😂😂🚮🚮🚮

Kanumba kumbafu sana 🚮🚮👎😃
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Sijui nini kilikuja kuharibu hapo kati kati, lakini zamani pamoja na uduni wa vifaa vya kisasa ila unaangalia movie unaridhika kabisa.
Vilivyoharibu ni hivi;

-Tasnia kuvamiwa na wadangaji ,wauza sura ,wasaka umaarufu nk.

-Kulazimisha lazimisha part 1&2 bila sababu za msingi .

-Kuleta filamu nyingi sokoni kwa wakati mmoja. Mtu kwa mwezi anatoa filamu zisizopungua 10 unategemea nini hapo kama sio kulipua kazi?

-Kuletwa kwa waigizaji ambao hawakujengwa kisanaa.

-Kukosekana kwa waandishi wazuri nk.
 
Hapa TZ, vipaji ni vingi ila hakuna misingi ya kujenga na kuimarisha vipaji hivyo viwe bora.

Zamani nikiwa shule ya msingi kulikuwa na maonyesho ya sanaa yalitwa TAMASHA, yalikuwa yanafanyika pale Nkurumah Hall, Udsm. Pale shule nyingi zilishiriki kuonyesha sanaa zao kama ngoma, maigizo, nk.

Sisi hatuna hata national theatre kwaajili hiyo.
 
Sultani Tamba movies zake ziliegemea vitisho zaidi ila Mussa Banzi alikuwa anapiga kotekote mapenzi na vitisho.
Kuna movie ya Sultan Tamba inaitwa Wasiwasi, wanaume wawili wanagonga mlango usiku wa manane, mlango ulipofanguliwa wanauliza wapi kuna msiba.
Aliefungua mlango anashangaa na kusema hana taarifa za msiba, wakamuambia msiba upo tena ni wa mtu wako muhimu fanya utafiti utajua. Wanaondoka!
Yule jamaa hakuendelea kulala, akatoka kulelekea kwa mchumba wake anaetaka kumuoa karibuni, kufika tu anasikia kama mtu anaugulia maumivu kupitia dirishani. Kuchungulia anakuta mchumba wake amepigwa kisu cha tumbo.
Akaenda haraka kwenye mlango mkubwa ambao ulikuwa wazi akaingia ndani amuokoe ila ikashindikana.
Mama yake na yule binti nae akaamka maana alisikia sauti na kukurukakara, kuingia kwa binti yake anakuta keshakufa na mchumba wake ndio kashikilia kisu.
Ikaonekana yeye ndio kaua jumba bovu likamuangikia.
Na kuna nyingine inaitwa Miwani meusi!
Kaka Kuna ile Jamaa ana wachapa fimbo, Ina itwaje hivi??
 
Back
Top Bottom