Aki
Akitaka demu atamwingiza kwenye tasnia.Mtu kama Patcho Mwamba hakuwa na hobby kabisa ya kuigiza ila ushawishiaa Kanumba jamaa akaanza kuigiza na karibia kila filamu ya Kanumba lazima amuite Patcho wacheze naye.
Kifupi Kanumba alikuwa mtu wa kufosi wengine aliowaleta kama Patcho at least wapo vizuri ila wengine walisababisha tasnia nzima ya filamu kuonekana hovyo.