Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,120
Sasa mzee kusema tu walikuwa 'wananunua watumwa kwa ajili ya kuwasaidia mashambani' unaelewa maana yake!? Unataka kusema wakishawanunua walikuwa wanawaachia huru au wanaendelea kuwatumikisha kama watumwa katika mashamba yao...unajua tofauti ya 'utumwa' na biashara ya 'utumwa'
Hawa uliowataja wana tofauti gani na Tanganyika wote wavamizi tu.Kuna tofauti gani kati ya kina Karl peters na hawa masultani wa mzew mohamed said? Wote wavamizi na wakoloni hawa
Mzee mkongwe "The LEGEND safri ni safari"Tatizo la Mzee Mhemedi hapendi kuangalia uhalisia wa mambo nje ya imani yake!!! Kwake yeye Muumini mwenziye katu hakosei!!!! Awe wa leo hata wa jana!!!
Hawa uliowataja wana tofauti gani na Tanganyika wote wavamizi tu.
Mkuu kwa hsehima na upole nijibu hapa?!!Mkuu waarabu walifanya biashara ya utumwa bagamoyo na zanzibar hilo halina ubishi ila sio kila mwarabu alikuwa slave master.
Mzee mkongwe "The LEGEND safri ni safari"
una uhakika kuwa safari za kwanza za Waarabu walikuja kufuata watumwa? au walikuwa katika msafara wao mwengine... Jee lengo lao lilikusudia kubeba watumwa.. nani anajibu hilo?!?!?
Hapo ndiyo pakuaanzia... Bidhaa (watumwa) walikuwa tayari for EXPORT au kutafuwa na kuaandaliwa?!! na mda wote huo wa kuwasubiri wanunuzi hao watumwa walilelewa na kulishwa na kutunzwa na nani??? kwa sababu msafara haukuwa na TAARIFA maalum!!
Sasa wakuu, mbona mnatuchanganya hivi... Wengine humu munasema watumwa walikuwa mashambani na wengine mnasema walipelekwa huko na wengine nao akina mzee Safari ni safari anasema walipelekwa kucheza soka !!Sasa mzee kusema tu walikuwa 'wananunua watumwa kwa ajili ya kuwasaidia mashambani' unaelewa maana yake!? Unataka kusema wakishawanunua walikuwa wanawaachia huru au wanaendelea kuwatumikisha kama watumwa katika mashamba yao...unajua tofauti ya 'utumwa' na biashara ya 'utumwa'
Kaka yangu MpendwaInabidi urudi nyuma sana katika historia na uelewe evolution ya human society. Ni topic ndefu sana ila slavery ni moja ya stages zake. Baada ya jamii mbalimbali kuivuka hii stage ilibidi watumwa watafutwe mbali zaidi. Hawa wauza watu walipofika huku Afrika walikuta mali za quality ya juu maana mungu ametujaalia sana waafrika katika physique lakini si katika maarifa. Jamaa walitumia maarifa kutufanya watumwa. Walipomaliza all able bodied elements kwenye coastline wakaingingia interior zaidi. Ndio maana leo hii watu wa pwani wengi narenare sana.....A sorry to say this.....
Sasa wakuu, mbona mnatuchanganya hivi... Wengine humu munasema watumwa walikuwa mashambani na wengine mnasema walipelekwa huko na wengine nao akina mzee Safari ni safari anasema walipelekwa kucheza soka !!
Khaaah.... yaani Kumradhi mfano raisa OBAMA nae alipelekwa kucheza BASKETIBOLI ???!
Hivo akili zenu zipojee...? Dunia kweli kuna maajabu...haswa ukitembea kwenye mgongo wake ndiyo utashuhudia.. ila uukiduwaa haku vijiweni mtabakia na hadithi za akina kingi Goji na Elizabethi (Western propaganda za Makanisani) !!!
Safari_ni_Safari
Kaka yangu Mpendwa
Kwa heshima na taadhima naomba uwaombe RADHI na msamah wana wa PWANI.. hilo kwako naamini ndo utamaduni wako !! omba radhi.....
Hiyo story ni ktk vitabu tu mkuu!! Hutoniaminisha maandishi ya WESTERN PROPAGANDAAAAA!!!!!!!
Mkuu SnS nimekuelewa sana.... kuhusu picha pia ninafahamu... zaid hata kwa majina yao!!Sentensi yangu ya mwisho imekuendea kombo? Hebu isome tena
Hiram,Sasa mzee kusema tu walikuwa 'wananunua watumwa kwa ajili ya kuwasaidia mashambani' unaelewa maana yake!? Unataka kusema wakishawanunua walikuwa wanawaachia huru au wanaendelea kuwatumikisha kama watumwa katika mashamba yao...unajua tofauti ya 'utumwa' na biashara ya 'utumwa'
Safari,Mzee Mhemedi mbona haya unayo yazungumzia ni ya mwishimwisho wa biashara ya utumwa? Ninachojua mimi utumwa kule Middle East upo hata kabla ya mitume na hawa waarabu walifika pwani ya Afrika mapema sana hata kabla ya wazungu kuja. Walichofuata ni watumwa.Kwani umemsahau Zayd ibn Harithah ?
Huu mtazamo wangu na mwenye akili timamu...Hawa waarab hawakustahili juwepo Unguja....Arabs ni wabaguzi popote pale waishipo. Ilikuwa vizuri sana wao kupinduliwa na kuteswa ili waonje joto la jiwe.
Mwanzo walikuja kibiashara na watumwa walikuwa kitendea kazi walipoweka makaziMkuu kwa hsehima na upole nijibu hapa?!!
una uhakika kuwa safari za kwanza za Waarabu walikuja kufuata watumwa? au walikuwa katika msafara wao mwengine... Jee lengo lao lilikusudia kubeba watumwa.. nani anajibu hilo?!?!?
Hapo ndiyo pakuaanzia... Bidhaa (watumwa) walikuwa tayari for EXPORT au kutafuwa na kuaandaliwa?!! na mda wote huo wa kuwasubiri wanunuzi hao watumwa walilelewa na kulishwa na kutunzwa na nani??? kwa sababu msafara haukuwa na TAARIFA maalum!!
Mkuu Nakuheshimu sana.. FYI, waarabu hawakuja kwa nia ya BIASHARA kwanza.. walikuwpita kwa lengo la kufikisha UJUMBE (message) kutangaza uislam huko nje ya bara la arabu!!Mwanzo walikuja kibiashara na watumwa walikuwa kitendea kazi walipoweka makazi
Ahsante sana... Ubarikiwe maelezo yako yana ncha mbili !!@Mkuu zamiluni zamiluni kubali au kataa utumwa ulikuwepo ila visiwa huwa ni sehemu ya waamiaji kama kuna fursa ya biashara na hal ya hewa .nakataa watu kuwatenga wenye asili ya kiarabu coz watu wamezaliana na kuwa kitu kimoja.
Hayo waarabu kutawala ni figisufigisu za ccm kwan nimesoma khs zenji kulikuwa na wazir mkuu nafikir shamte cjajua ilikuaje mpaka mambo yakabadilikaAhsante sana... Ubarikiwe maelezo yako yana ncha mbili !!@
Kwani nani mwenye kuleta mfarakano hadi kutengana.... Kuzaaliana kupo miaka na karne nyingi !!
Hapa zaidi kinchogusa ni UPOTOSHI na UONGO mchana kweupee pee "ati WAARABU wanataka kURUDI KUTAWALA ZENJI upya mara nyingi mmaneno hayo yana semwa na kuandikwa ktk media na ktk mihadhara na mitandaoni na hata BUNGENI" sasa tuulizane suali LINI KUNA MWARAABU/WAARABU walijaribu kuleta mapinuzi au machafuko baada ya 1961 na 1964 ?? Yaani tunasikia Siasa juu ya jukwaa UTUMWA UTUMWA na mengine hayo"kuwa hawa warabu/sulutani wanaita nchi !!
pyuuuuuf.... wakati watu wapo ktk shughuli zao !!