Acha Namba ya simu ya kijana wako hutakuwepo, ubishi wa nini lakini?Mimi ni mtu wa imani za life after life na reincarnation, hivyo hata ni shed this body, bado nitaendelea kuwepo kwenye after life, hivyo nitakuwepo sana tuu. Life after Death: What happens after death?
P
Kama huamini, subiria hiyo siku uone... tena nitakuibukiaAcha Namba ya simu ya kijana wako hutakuwepo, ubishi wa nini lakini?
Kuna vitu vizuri mwanzo lazima vianze kwa shuruti, hata dawa, mtoto lazima alazimishwe kunywa ili apone. Ni kweli muungano ulianza kwa shuruti ila huku bara, Bunge la Tanganyika liliridhia ila Zanzibar ndio hawakuridhia Je, wajua kuwa Zanzibar haikuridhia Muungano? Ina Maana Gani?Ndio maana nimekuambia ni muungano wa shuruti sio wa ridhaa.
Muungano hauna ushirikina wowote, wala usiite watu washirikina, haukufanyiwa zindiko lolote zaidi ya kule kuchanganya udongo. Mwenge ndio ulifanyiwa zindiko, niliwahi kuuliza humu Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.Ukiona muungano unalindwa kwa kupoteza uhai wa wanaouhoji au wasio ridhia, huo sio muungano bali kafara. Kizazi hiki sio Cha kuongozwa na makafara ya hao wazee washirikina tena.
How? Msikariri eti nothing is impossible...Mwanaume hawezi kubeba mimba...impossible!! Mimi siwezi kuwa wewe na wewe huwezi kuwa Mimi!! Isn't that impossible? Tanzania haiwezi kuwa ilivyo marekani...Nothing is impossible under the sun!.
P
Ugomvi upo, kuna upande unatupunja sn huku baraHakuna ugomvi hapa
Watu wa Nchi hizi ni ndugu moja, kinachotafutwa ni kuziondoa tu zile zinazoitwa kero za Muungano ambazo ni pamoja na muundo wa Muungano π
Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanganyika na Zanzibar π
Hakuna ugomvi hapa πππ€
Ndiyo maana tunataka Zanzibar iwe ni mkoa na Mwinyi awe Mkuu wa Mkoa wa ZanzibarMuungano hauna ushirikina wowote, wala usiite watu washirikina, haukufanyiwa zindiko lolote zaidi ya kule kuchanganya udongo. Mwenge ndio ulifanyiwa zindiko, niliwahi kuuliza humu Mwenge: Ni Mwanga Tu Au Kuna Uvumba Fulani Unafukizwa Ili Kupumbaza Watanzania? Is it Justified?.
P
Paschal ni mfanyakazi wa Channel 10 hivyo usitegemee jipya toka kwakePaskali,unavyong'ang'ania kwamba watu hawana elimu ya uraia,unakosea.Kuna uwezekano wewe ndiye umepewa elimu hiyo lakini haijajihifadhi sehemu njema kichwani mwako.Kwa ufupi haujaelewa kitu.Bado una safari ndefu ya kulishwa kwa nguvu kuhusu demokrasia na uhuru wa maoni.Naishia hapa.
Kabisa Zanzibar iwe ni mkoaSasa hivi sehemu kubwa ya watu wa upande mmoja (Zanzibar) wanaishi, kuendeleza maisha kisiasa na kiuchumi sehemu ya pili, hata kupata nafasi za uongozi hadi ile ya juu kabisa katika utawala.
Katika hali kama hiyo, kuulizana unatakiwa muungano wa aina gani ni kuzua migogoro na kupoteza muda, serikali moja inawezekana hata kesho asubuhi kukiwa na utashi wa kisiasa.
Mimi sio mfanyakazi wa Channel Ten, ni mwandishi wa habari wa kujitegemea independent ambaye nafanya kazi kwa kujitolea. Vipindi vyangu vinarushwa na vituo mbalimbali vya TV ikiwemo Channel Ten. Pia ninaandikia magazeti 6. Daily News na Habari leo, the Guardian na Nipashe, na Citizen na Mwananchi.Paschal ni mfanyakazi wa Channel 10 hivyo usitegemee jipya toka kwake
Hata tukiwa na serikali moja, Zanzibar inakuwa ni jimbo la Zanzibar linalojitegemea lenye mikoa 2 ya Zanzibar na Pemba, rais wa Zanzibar anakuwa ni gavana.Ndiyo maana tunataka Zanzibar iwe ni mkoa na Mwinyi awe Mkuu wa Mkoa wa Zanzibar
Ikiwa ni mkoa utajenga dhana ya umoja ndani yake.Kabisa Zanzibar iwe ni mkoa
Kwahiyo Mwinyi atakuwA DC wa Uguja?Ikiwa ni mkoa utajenga dhana ya umoja ndani yake.
Pemba iwe wilaya ya mkoa wa Tanga na Unguja iwe wilaya ya mkoa wa Dar Es Salaam au Pwani
Kwanini asiwe Mkuu wa Mkoa wa Zanzibar?Hata tukiwa na serikali moja, Zanzibar inakuwa ni jimbo la Zanzibar linalojitegemea lenye mikoa 2 ya Zanzibar na Pemba, rais wa Zanzibar anakuwa ni gavana.
P
Wazanzibar hawaelewi hilo. Wanachojua ni mkoa wa Zanzibar ni nchi.Hakuna ugomvi hapa
Watu wa Nchi hizi ni ndugu moja, kinachotafutwa ni kuziondoa tu zile zinazoitwa kero za Muungano ambazo ni pamoja na muundo wa Muungano π
Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanganyika na Zanzibar π
Hakuna ugomvi hapa πππ€
Ohooo π³Paschal ni mfanyakazi wa Channel 10 hivyo usitegemee jipya toka kwake
Wako sahihi ,Wazanzibar hawaelewi hilo. Wanachojua ni mkoa wa Zanzibar ni nchi.
Kwa vile Zanzibar mwanzo ilikuwa ni nchi, kuigeuza mkoa itakuwa sio fresh, Zanzibar litakuwa jimbo linalojitegemea na Gavana atatembea na ving'ora.Kwanini asiwe Mkuu wa Mkoa wa Zanzibar?