Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

Suluhisho la Kudumu la Kero Zote za Muungano, na Dawa ya Kutibu Sumu ya Ubaguzi wa Utanganyika na Uzanzibari ni Kuwa na Serikali Moja ya JMT?

Hakuna ugomvi hapa
Watu wa Nchi hizi ni ndugu moja, kinachotafutwa ni kuziondoa tu zile zinazoitwa kero za Muungano ambazo ni pamoja na muundo wa Muungano 👁
Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanganyika na Zanzibar 👁

Hakuna ugomvi hapa 👁😇🤠
Ugomvi upo, kuna upande unatupunja sn huku bara
 
Paskali,unavyong'ang'ania kwamba watu hawana elimu ya uraia,unakosea.Kuna uwezekano wewe ndiye umepewa elimu hiyo lakini haijajihifadhi sehemu njema kichwani mwako.Kwa ufupi haujaelewa kitu.Bado una safari ndefu ya kulishwa kwa nguvu kuhusu demokrasia na uhuru wa maoni.Naishia hapa.
Paschal ni mfanyakazi wa Channel 10 hivyo usitegemee jipya toka kwake
 
Sasa hivi sehemu kubwa ya watu wa upande mmoja (Zanzibar) wanaishi, kuendeleza maisha kisiasa na kiuchumi sehemu ya pili, hata kupata nafasi za uongozi hadi ile ya juu kabisa katika utawala.
Katika hali kama hiyo, kuulizana unatakiwa muungano wa aina gani ni kuzua migogoro na kupoteza muda, serikali moja inawezekana hata kesho asubuhi kukiwa na utashi wa kisiasa.
Kabisa Zanzibar iwe ni mkoa
 
Paschal ni mfanyakazi wa Channel 10 hivyo usitegemee jipya toka kwake
Mimi sio mfanyakazi wa Channel Ten, ni mwandishi wa habari wa kujitegemea independent ambaye nafanya kazi kwa kujitolea. Vipindi vyangu vinarushwa na vituo mbalimbali vya TV ikiwemo Channel Ten. Pia ninaandikia magazeti 6. Daily News na Habari leo, the Guardian na Nipashe, na Citizen na Mwananchi.

P
 
Hakuna ugomvi hapa
Watu wa Nchi hizi ni ndugu moja, kinachotafutwa ni kuziondoa tu zile zinazoitwa kero za Muungano ambazo ni pamoja na muundo wa Muungano 👁
Tanzania ni Muungano wa Nchi mbili Tanganyika na Zanzibar 👁

Hakuna ugomvi hapa 👁😇🤠
Wazanzibar hawaelewi hilo. Wanachojua ni mkoa wa Zanzibar ni nchi.
 
Back
Top Bottom