Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

BRB

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2015
Posts
342
Reaction score
818
Salam wadau

Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado.

Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili

1. Kufungua akaunti ya dola ili niwe nadudunduliza USD kutoka kwenye BUREAU DE CHANGE na kudeposit. Japo na hii naona kuwa kuna ugumu wake maana kwenye Jiji letu la Mwanza hiko Moja na kila nikienda naambiwa Dola hakuna

2. Kufungua serving account nakupewa VISA CARD, itakayosaidia kutranfer hizo fedha kwa kutumia PayPal. Kwa sasa akaunti yangu haina huduma ya kupewa VISA kadi

Kwa muktadha huu, naomba kufahamishwa ni njia gani itanidaidia kukamilisha malipa hayo.

Naomba kuwasilisha
 
Ila kumbuka PayPal haipokei hela toka nje kuja Tanzania
Labda kama unalipia tu
 
siku ngapi
Dakika zisizozidi 30, Unakuwa na kadi yako iliyotayari kufanya malipo mtandaoni. (Nenda equity bank, Uwe na kitambulisho kimojawapo kati ya driving licence au NIDA au Passport)

Muhimu : Hakikisha unawakumbusha waongeze daily limit, katika kadi husika, (Sababu by default kiwango huwa ni kidogo) mfano kama unataka ufanya malipo ya USD 3000 basi omba kadi yako iwe na daily limit ya US $5000 au zaidi ya hapo.
 
Shukrani. Pls naomba elimu katika hilo; kwa nini niombe waniongezee daily limit ikiwa kwenye account nina TZS ambazo ni zaidi ya kiwango takiwa interm of USD?
 
kwa nini niombe waniongezee daily limit
Kwa sababu za kiusalama, Card zote by default zimewekewa matumizi yasiyozidi 300,000 kwa saa 24.

Hivyo ni jukumu lako kuwajulisha wa uplift limit na wawekekiwango kikubwa, Benki hawana tatizo kiwango chochote unachotaka waweke kama daily limit yako wanakuwekea.
 
Salam wadau

Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado.

Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili

1. Kufungua akaunti ya dola ili niwe nadudunduliza USD kutoka kwenye BUREAU DE CHANGE na kudeposit. Japo na hii naona kuwa kuna ugumu wake maana kwenye Jiji letu la Mwanza hiko Moja na kila nikienda naambiwa Dola hakuna

2. Kufungua serving account nakupewa VISA CARD, itakayosaidia kutranfer hizo fedha kwa kutumia PayPal. Kwa sasa akaunti yangu haina huduma ya kupewa VISA kadi

Kwa muktadha huu, naomba kufahamishwa ni njia gani itanidaidia kukamilisha malipa hayo.

Naomba kuwasilisha
PayPal inafanya kazi Tanzania? Wameanza lini?
 
nina TZS ambazo ni zaidi ya kiwango takiwa interm of USD?
Bila kujali kiasi cha fedha kwenye account yako, by default daily limit kwa malipo mtandaoni ni kiasi kidogo, na hii ni kwa benki zote. Hivyo ni jukumu lako kuwakumbusha kuondoa limi ndogo na kuweka makadiliyo ambayo yatakidhi miamala utakayokuwa ukifanya
 
Kwa sababu za kiusalama, Card zote by default zimewekewa matumizi yasiyozidi 300,000 kwa saa 24.

Hivyo ni jukumu lako kuwajulisha wa uplift limit na wawekekiwango kikubwa, Benki hawana tatizo kiwango chochote unachotaka waweke kama daily limit yako wanakuwekea.
300,000 USD au TZS??
 
PayPal inafanya kazi Tanzania? Wameanza lini?
Kila siku tunafanya miamala kupitia Paypal, Sio kupokea bali kufanya malipo/ kutuma fedh kwa supplier nje ya nchi, Hii haijawahi kuwa Tatizo hata kidogo

1694878013706.png

Picha | Sehemu ya miamal ya Paypal
 
300,000 USD au TZS??
Ni TZS. 300,000

Nadhani nimeeleweka.

Hivyo omba waweke daily limit hata TZS. 200,000,000 (mfano) wanakuwekea sio tatizo kwao, kikubwa wakumbushe wafanyie kaz hiko kipengele ili ufanikishe kufanya malipo ya kiwango chochote kile.
 
Appreciate. Pengine kwa uelewa zaidi, Paypal ni user friendly, au nayo yahitaji elimu ya ziada???
 
Back
Top Bottom