Samedi Amba
JF-Expert Member
- Nov 13, 2018
- 227
- 178
Hello. Asante kwa kuwasilisha.Salam wadau
Ni takribani wiki mbili sasa nimeshindwa ku-clear invoice ya kununua gari kutoka Japan kutokana na ukosefu wa Dola sokoni. Nimewekwa kwenye lisit ya kusubilia, hila kila nikienda bank naambiwa kuwa bado.
Ili kutatua changamoto hii, nimepewa option mbili
1. Kufungua akaunti ya dola ili niwe nadudunduliza USD kutoka kwenye BUREAU DE CHANGE na kudeposit. Japo na hii naona kuwa kuna ugumu wake maana kwenye Jiji letu la Mwanza hiko Moja na kila nikienda naambiwa Dola hakuna
2. Kufungua serving account nakupewa VISA CARD, itakayosaidia kutranfer hizo fedha kwa kutumia PayPal. Kwa sasa akaunti yangu haina huduma ya kupewa VISA kadi
Kwa muktadha huu, naomba kufahamishwa ni njia gani itanidaidia kukamilisha malipa hayo.
Naomba kuwasilisha
Unaweza kufungua account na kampuni ya wise.com. Humo kuna option ya USD ambayo unaweza kutumia kulipia.
Aidha, VISA/Mastercard inaweza kufaa. Natumiaga ya MPESA bila tatizo lolote.
Hiyo issue ya kutaka kulipa dollar physically itakuchelewesha bureee.