Suluhisho la kutopatikana wa Dola na kushindwa kulipia gari kutoka SBT JAPAN

Hello. Asante kwa kuwasilisha.
Unaweza kufungua account na kampuni ya wise.com. Humo kuna option ya USD ambayo unaweza kutumia kulipia.
Aidha, VISA/Mastercard inaweza kufaa. Natumiaga ya MPESA bila tatizo lolote.
Hiyo issue ya kutaka kulipa dollar physically itakuchelewesha bureee.
 
Reactions: BRB
Ngosha Option umeshapewa mbili mkuu na zinajitosheleza, option ya tatu jiandae kutapeliwa. Nakutakia kila la kheri
Heshima Kwako
Naomba ufafanuzi kwenye option ya 3 na pamoja na suluhisho la kutotapeliwa.
Naomba kuwasilisha
 
Mpeni ngosha maujanja keshauza pamba aweze kuagiza vitz yake, zamani baada ya kuuza pamba walikuwa wananunua sana baiskeli za phoenix na zile radio za mkulima ila kwa sasa mambo yao yamekuwa moto...​
 
Reactions: BRB
NMB prepaid is the best ,hakuna masharti wala longo longo ,ni wewe na kibunda chako tu
 

Vuka boda dollar mingi sana japo ni risk

Rusumo, Kabanga, Migori na Mtukula zipo

Sema we uhitaji wako ni wa muda

Kuna waCongo wawili huwa wanaleta dollar

Option ya kufungua account ya dollar ndo mi natumia ukiwa huna hiyo account utauziwa 500$ ukihitaji zaidi hupati

Sehem ya kubadili fedha ni 1? We ni mgeni huko?
 
Reactions: BRB
Huu ukosefu wa dola usikie tu kwa wenzako omba usikukute ! Kuna watu wanafilisika na wengi watafilisika kwa hiii.
Kuna jamaa yangu alikwa anahangaika kulipia Nmt shipping costs ya dola 9000 meli ishatinga na ku off load mzigo shipping line hawajatoa telex release kwa sababu hawajalipwa na Tpa hawa proces chochote bila shipping release na mzigo unaanza kusoma storage . very last minutes Nmt shipping wakakubali kulipwa kwa Euro ndo ikawa salama yake .
Imagine unalipia kitu cha dola 9000 halafu benki wanakwambia wana uwezo wa kukuuzia dola 500 tu charges za kutuma ni dola 50 kwa kila dola 500
 
Reactions: BRB
Nenda bank na hizo invoice za malipo hawawezi kataa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…