Suluhisho la vita ya Mashariki ya kati ni kwa Wapalestina kutulia au kuhama kabisa pale Gaza

Zakaria 12:2-3 kwamba Mungu ataifanya Jerusalem kuwa jiwe la mataifa kujikwaa, watapata jeraha
Jerusalem ni symbol ya utawala wa Yesu not necessarily ile Jerusalem iliyopo pale palestina. Mfano Bible inasema hivi;

John 4:23
the hour is coming when you will worship the Father neither on this mountain nor in Jerusalem.

Yaani Mungu ataabudiwa katika roho na kweli na sio pale Jerusalem maana mambo ya hekalu hayapo tena na kwa sasa hekalu ni ndani ya mtu.

Someni biblia vizuri acheni kupotosha maandiko
 
Yaani nchi ya Israel kwenye Biblia ni ya Waisraeli,rejea Mwanzo 15:18, pia kwenye Quran 5:21 Allah ambaye ni Mungu wa Wapalestina anasema nchi iliyoitwa Kanani walipewa Waisraeli. Hawa Hamas wakae kwa kutulia vinginevyo kipondo kitaendelea mpaka wahamie Msomera.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Amos 9:15 alishasema miaka 538 BC kuwa atawarejesha Israel Kutoka alikowatawanya, na wakirudi, hakuna wa kuwatoa.
Mungu akiwarejesha sio USA wala UK na Mungu akiwarudisha wala haitohitajika vita bali mazingira yataandaliwa!!
Ndiyo haya yanatokea, Wapalestina hawatamudu vita
Biblia gani hiyo unasoma? Unajitafsiria unabii juu juu tu. Waliambiwa wasipomtii watatandikwa tu kama unabisha kasome kabila la Dani lilivyopotezewa na Mungu
 
Kwani Kuna nchi inaitwa Palestina? Palestina ni nchi feki iliyoanzishwa na Warumi mwaka 135 AD.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Pole sana
 
Pole sana
 
Pole sana
 
Ni mwaka sasa umeisha na Russia haijafanikiwa kuiteka Ukraine, kama ni mission, kimtindo Putin amefeli. Aanze sasa kusitisha vita ili mambo mengine yaendelee.
Mleta uzi akizungumzia Ukraine.
Halafu akaenda kuvamia Ukraine ili kuichukua nchi ya watu wengine huku akiua watu wasiokuwa na hatia.

Putin ni bonge la mpumbavu.


Mleta uzi anaunga mkono Ukraine kujitetea dhidi ya Urusi na anaumizwa kuona raia wasio na hatia wakiuawa na Urusi. Na tunaona hawalaumu kabisa WaUkraine kwa matatizo yanayowakuta. Bali anamlaumu mvamizi Putin.
 
hawa wananchi wenzetu wa madongokuina wanaosema wale ni ndugu zao katika dini wanalijua hili? Wasilogwe wakawakaribisha hakuna rangi wataacha kuona toka kwa wageni hao. Kwanza wana tabia ya kujiingiza kwenye siasa za nchi walimokaribishwa na kuendeleza harakati zao dhidi ya adui yao wakiwa mbali. Wanaweza wakaunda chama chao na wakashiriki uchaguzi wa nchi walimopewa hifadhi. Kwa hapa kwetu wale wanaweza kujiunga na act wazalendo kule kuna ndugu zao wa dini na hata ufanano wakakiteka kile chama totally kikawa ni chama cha kipalestina, kama kina usultan hakishindwi kuwa na upalestina adadani
 
Putin hawezi ongea utumbo kma huo kingine kupigana kujikomboa sio ujinga, otherwise Mandela asingepigania uhuru South Africa maana makaburu walikua na silaha zote nzito nzito
unafananisha makaburu na israel dhidi ya palestina? Kwa mtazamo huo unadhani itatokea siku israel ijisalimishe kwa palestina na mpalestina atawale israel? Mgogoro wa palestina na israel ni level nyingine, huwezi kufananisha na kina mandela na makaburu. Afrika kusini wanatawala waafrika still makaburu wapo tele na ni raia wa huko. Ni suala la muda tu anaweza kutokea rais kaburu tena ama wa ANC au wa chama kingine cha waafrika na hata cha wazungu.
 
Kwa mtazamo huo unadhani itatokea siku israel ijisalimishe kwa palestina na mpalestina atawale israel?
Tokea dunia imeanza kuna ubabe uliowahi kudumu? Hitler yukowapi? Japan ilifia wapi? Napoleon aliishia wapi? Haya mambo ni suala la muda tu.
unafananisha makaburu na israel dhidi ya palestina?
Wewe umesema palestina wamezidiwa nguvu ndio maana nakuuliza kwa hiyo Mandela naye angeacha kupigania uhuru kisa makabur wana nguvu.

Kingine wanahofanya Israel na makaburu ni yale yale kuwabagua wenzao na kuwaona kama makapi.
Mgogoro wa palestina na israel ni level nyingine, huwezi kufananisha na kina mandela na makaburu.
Level zipi? Wale wamepora ardhi ya watu kama tu Armenia vs Arzebeijan, Kurdistan vs Turkey, Kosovo vs Serbia au Tigray vs Ethiopia. Hakuna jipya pale suluhisho ni two states, tatizo Israel haitaki inataka kuhodhi ardhi yote..
Afrika kusini wanatawala waafrika still makaburu wapo tele na ni raia wa huko
Ni sababu weusi walipambana so hata hao palestina wakipambana kipi kitawazuia kufanikiwa kama Mandela?

Hivi nikuulize tu Israel ikichukua ardhi yote ina maana palestinians watakua sehemu ya Israel!! Hivi hawaoni ndio watakua wanajitoa muhanga mashuleni n.k maana watakua ndani kabisa ya Israel!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…