Mshukuru sana Mungu maana wale jamaa walitumwa kuua na kuteketezaShida ni kwamba ile ilikuwa ni vita...vita ya bunduki kwa panga...nilishuhudia mmoja kati ya wenye bunduki akiuawa...kisha nikashuhudia waliokuwa na mawe wakirushiwa mvua ya Risasi😭😭😭
Nilichokiona kinahudhunisha sana hadi leo bado siamini kama nipo Hai...!
Kwa hiyo ukiua familia za polisi ndio unasolve issue sio?Mimi Sisupport kuua mtu yeyote yule lakini hii kesi yako ni ngumu sana kujitetea mbele ya wananchi wenye hasira kali hadi wakuelewe nitakuelezea kwa nini nasema hivyo.
Kwa upande wa Jeshi la Polisi hakuna polisi hata mmoja ambaye amejitokeza na kukemea hadharani yale yaliyokuwa yakifanyika kabla na baada ya uchaguzi kuwatetea wananchi kwa hiyo kama Mzee wako alikuwa anaumia kimoyoni kimyakimya bila kupaza sauti naye ataonekana ameunga mkono yale yote yaliyokuwa yakifanyika.
Tukitolea mfano Jeshi la wananchi angalau walionekana kuwa upande mmoja na wananchi kwa kuwakingia kifua hapo wakijitetea kwamba nguvu yao ni ndogo wamejitoa kwa uwezo wao wananchi watawaelewa.
Fanyeni mnachotaka, msiigeuze tu nchi yetu kuwa SudanHujasoma maelezo yangu vizuri nimekwambia mimi sisupport mtu yeyote kuuliwa ila nimejaribu kuuchambua utetezi wako ulioutoa kwamba hauna nguvu tafuta Plan B.