Suluhisho ni moja TU, Polisi lazima walipe Gharama ya vifo vilivyosababisha kwa watanganyika wenzetu

Shida ni kwamba ile ilikuwa ni vita...vita ya bunduki kwa panga...nilishuhudia mmoja kati ya wenye bunduki akiuawa...kisha nikashuhudia waliokuwa na mawe wakirushiwa mvua ya Risasi😭😭😭

Nilichokiona kinahudhunisha sana hadi leo bado siamini kama nipo Hai...!​
 
Mshukuru sana Mungu maana wale jamaa walitumwa kuua na kuteketeza
 
Kwa hiyo ukiua familia za polisi ndio unasolve issue sio?
 
Hujasoma maelezo yangu vizuri nimekwambia mimi sisupport mtu yeyote kuuliwa ila nimejaribu kuuchambua utetezi wako ulioutoa kwamba hauna nguvu tafuta Plan B.
Fanyeni mnachotaka, msiigeuze tu nchi yetu kuwa Sudan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…