Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

ni sawa na kuwa porini na mwenzako, wewe unakunya na yeye anakunya halafu unamshangaa eti dooh wewe mbona unakunya porini? wakati wote mmechuchumaa mnakunya.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Wanaume wa dar wanatafuta ilo dili et ukiwakuta wanavyo fakamia viroba kabla ya show utafutah mwenyewe
 

Punguza kupiga puchu aisee
 
cc Ichana
 
Panda BOMBADIER-hutojuta, unafika asubuhi na mapema.
 
ACHA NYETO
 
Sure
 
Habari ndugu zangu!!!. Niende, moja kwa moja kwenye maada!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26.
Ndugu zangu tatizo ambalo linanikabili ni kuwa ineffective ktk mishipa ya penis ambalo linapelekea kushindwa ku erect kisawasawa.
Ki ukweli nimefanya sana muster bastion kwa muda mrefu sana, nahic hili ndo chanzo cha tatizo.
Na imani humu ndani kuna watu wengi wenye ufahamu haya mambo, wanaweza kunisaidia ki ushauri, maoni n. k.
Mpaka saiz, nimekuta na mabinti wengi tu ila performance imekuwa ndogo sana.
Wasi wasi wangu ni pale nitapo kuja kuoa,.
Nataka pia kuuliza hivi kuna dawa ma hospitalini ambazo naweza kupewa na zikanisaidia?
Ahsanteni na mungu awape baraka, hope hili jukwaa litanisaidia sana na kubaki kuwa historia hili tatizo langu.
 
nakushauri ujaribu na punyeto ya nzi au yakufunga kamba wadau wameigundua ni salama zaidi
nyeto ni taamu watu wameoa na bado wapo chaputa
 
Nenda hospitali za private watakusaidia tatizo lako.
Kama unaendelea acha kunyepuka ni hatari sana.
 
Mkuu acha kabisa hiyo kitu anza kufanya mazoezi,kunywa maji mengi na kupata chakula bora na matunda kwa wingi mambo yatakaa sawa pia fanya mchakato nenda hospitali kawaeleze watakusaidia!

-Nyerere-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…