kwetumasoko
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 866
- 510
Naona umeingia kivingine!Wewe ni hazina, utunzwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona umeingia kivingine!Wewe ni hazina, utunzwe
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]ni sawa na kuwa porini na mwenzako, wewe unakunya na yeye anakunya halafu unamshangaa eti dooh wewe mbona unakunya porini? wakati wote mmechuchumaa mnakunya.
Saa moja, aisee labda kama unatumia ndomDakika 45 hadi 60, hali hii mimi inanikera sana
Habari za muda huu wakuu, kwa kifupi ni hivi: mara nyingi nikiwa kwenye mapenz huwa nachukua muda sana kumaliza, kuna muda hadi huwa naulizwa humalizi? Hali hii kwangu inanisumbua sana kwani kila nkitaka kulala na mwanamke nakua na mawazo hadi inanipa hofu na kutamani kuahirisha zoezi.
Swali langu ni kwamba yawezekana hili ni tatizo? Je kama ni tatizo nini suluhisho lake naombeni msaada tafadhari
cc IchanaHabari za muda huu wakuu, kwa kifupi ni hivi: mara nyingi nikiwa kwenye mapenz huwa nachukua muda sana kumaliza, kuna muda hadi huwa naulizwa humalizi? Hali hii kwangu inanisumbua sana kwani kila nkitaka kulala na mwanamke nakua na mawazo hadi inanipa hofu na kutamani kuahirisha zoezi.
Swali langu ni kwamba yawezekana hili ni tatizo? Je kama ni tatizo nini suluhisho lake naombeni msaada tafadhari
Njoo kwanguMe napenda wanaochelewa tena kama anajua jinsi ya kunichezea ili nisikinae mchezo.
ACHA NYETONaombeni msaada,
Nimepatwa na tatizo la kushindwa kusimamisha pindi nnapokutana na mpenzi wangu..kila tunapokuwa faragha pamoja ninapatwa na wasiwasi nisiouelewa nakujikuta nashindwa kupata erection kabisa au kupata erection then inapotea na kutorudi tena..hapo nyuma tatizo hili halikuwepo kabisa na nlikuwa vizuri tu.
Hali hii inanifrustrate sana na kuninyima raha kabisa..naomba kwa yeyote mwenye uelewa na swala hili anisaidie.
Surechakula bora, mazoezi, kupumzika, na kuepuka kutumika ovyo, usafi wa mwanamke, mvuto kwenye mapenzi na ujuvi wa mambo! unaweza kuwa na stamina zako lakini mwanyewe akawa hana mvuto na hatii hamasa! wengine huwa tunasimamia show mpaka unaamua kuacha tu! Vijana wa sku hizi wanapita kumwagamwaga mbegu zao kila sehem mwisho nguvu kwishnei, hata manii zinakuwa nyepesi kama maji!
Vtunguu*Umeshaga wahi tumia vtuu saumu?