Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Kwa akili yako ile shughuli huwa inafanywa na nani?
Kwa akili yako utakuwa hujawahi kuwasikia akina anti Jumanne??

BTW swali hujaulizwa wewe, kwanini unamjibia??
 
Kumbe beberu.... Hili beberu lina umri gani??

Nataka nijue kama beberu hili limeshakomaa kwa ajili ya kuchinjwa au laa, maana beberu lisilo na mbegu halina faida ya kuishi muda mrefu. Ni hasara tupu.
Chinja tu mi naleta bia tunywe suooop
 
Id yako unajiita beberu mpya...kwakuwa ww ni mpya bhas vumilia hilo moja ambalo ndio uwezo wako ukifikia kuwa beberu mzee utaweza kutoa hizo bao unazotaka ww!kila kitu na muda wake kijana ila hali hyo ikiendelea nenda ukawaone wataalam au hata wakubwa zako watakusaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…