Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Kumbe beberu.... Hili beberu lina umri gani??

Nataka nijue kama beberu hili limeshakomaa kwa ajili ya kuchinjwa au laa, maana beberu lisilo na mbegu halina faida ya kuishi muda mrefu. Ni hasara tupu.
Chinja tu mi naleta bia tunywe suooop
 
Ndg zangu naombeni mnisaidie kwa hili jambo ambalo huwa linanitokeaga katika 6×6 pale mjengoni huwa nikipiga shuti langu moja tu jamaa anasizi as a amekula Ngada(Unga) sasa huwa nashindwa wapi kufikia hat triki?

My take: lakini kavu lazima mtoto atengenezwe but huwa siriziki.....
Id yako unajiita beberu mpya...kwakuwa ww ni mpya bhas vumilia hilo moja ambalo ndio uwezo wako ukifikia kuwa beberu mzee utaweza kutoa hizo bao unazotaka ww!kila kitu na muda wake kijana ila hali hyo ikiendelea nenda ukawaone wataalam au hata wakubwa zako watakusaidia.
 
Back
Top Bottom