Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili yako utakuwa hujawahi kuwasikia akina anti Jumanne??Kwa akili yako ile shughuli huwa inafanywa na nani?
Beberu huwa dume ndg
Ni mwanaume?? Nani kakuambia??msaidieni mwanaume mwenzenu anaaibika
Chinja tu mi naleta bia tunywe suooopKumbe beberu.... Hili beberu lina umri gani??
Nataka nijue kama beberu hili limeshakomaa kwa ajili ya kuchinjwa au laa, maana beberu lisilo na mbegu halina faida ya kuishi muda mrefu. Ni hasara tupu.
Hili beberu lazima litakuwa na supu kali...Chinja tu mi naleta bia tunywe suooop
Sawa panadol nimekuelewaKwa akili yako utakuwa hujawahi kuwasikia akina anti Jumanne??
BTW swali hujaulizwa wewe, kwanini unamjibia??
Asanta sana... huyu beberu atakuwa si rizki wallah... hebu leta kisu tumchinje...Sawa panadol nimekuelewa
Id yako unajiita beberu mpya...kwakuwa ww ni mpya bhas vumilia hilo moja ambalo ndio uwezo wako ukifikia kuwa beberu mzee utaweza kutoa hizo bao unazotaka ww!kila kitu na muda wake kijana ila hali hyo ikiendelea nenda ukawaone wataalam au hata wakubwa zako watakusaidia.Ndg zangu naombeni mnisaidie kwa hili jambo ambalo huwa linanitokeaga katika 6×6 pale mjengoni huwa nikipiga shuti langu moja tu jamaa anasizi as a amekula Ngada(Unga) sasa huwa nashindwa wapi kufikia hat triki?
My take: lakini kavu lazima mtoto atengenezwe but huwa siriziki.....
mtoa mada n jinsia gani kwanNi mwanaume?? Nani kakuambia??
Hilo bado sijalipatia ufumbuzi...mtoa mada n jinsia gani kwan
hata ww mzee wa utafiti umeshindwa kujua jinsia yakeHilo bado sijalipatia ufumbuzi...
Huu utafiti unahitaji PhD ya kemia wallah...hata ww mzee wa utafiti umeshindwa kujua jinsia yake
hahahhhh ngoja nimwite Bonny aje akusaidieHuu utafiti unahitaji PhD ya kemia wallah...