Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

Kweli na Amina.
everlenk umesema kitu cha msingi sana na hiki kimebeba uzito sana kwenye hili swala. Hii ni route cause ya hii mambo kwa upana sana.. kwa kuwa hakuna threshold ya hii makitu basi kila mtu kijiweni ana njia yake, ana ujuzi wake, ana stori yake, ana uzoefu wake... na kila mtu anajiamini asilimia mia mbili... Kijana wa watu ashike lipi aache lipe, afanye kipi aache kipi, na ana uwezo na kipi.... maana hata akiweza kufanya sawasawa wanawake wote hawafanani kwa hio hatutegei matokeo sawasawa na yule wa kwanza. Huenda laba huyu wa pili anafanyiwa ivyo vitu kumbe alishavizoea zamaaani sana, ila yule wa kwanza ndio ilikua mara ya kwanza kwanza(hajazoea) sasa watu kama hao unategemea matokeo yawe sawa kwa kitu hiko hiko? hapo sasa mtu expectations zinakuwa laki nane kidogo, na ndio stess zinaanzia kumaliza apo na kukosa confo kwa kiwangi cha kutisha.

Maneno na expectations za vijiwe/marafiki/groups ndio stress namba moja kwa msingi huo.

Many thanks.

 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa mkuu Tized na Sibonike,mwanamke anahusika sana katika kumweka sawa mwanaume,wanawake wengi ni waoga kuwaelekeza wanaume namna nzuri ya kufanya sex sababu wanaogopa wasionekane ni wahuni,hushindwa hata kufunguka kwa mume wake anapenda afanyiwe nini ili afurahi,hukuta mwanaume anastruggle mwenyewe tu yeye yuko kama gogo tu hapa nadhani ile point ya Watu 8 kukosekana lugha ya mawasiliano ya kimapenzi inahusika sana.

Nadhani tukubali tu hakuna aliyezaliwa anajua kila kitu,elimu kwa wote wawili ni muhimu,mwanaume anapofundishwa akubali tu na asijiskie vibaya na wala asimuone mwanamke huyo kama muhuni,vile vile mwanamke naye akubali kufundishwa wala asimfikirie vibaya mwanaume huyo na pia asione aibu kufunguka namna gani anapenda iwe ili naye aridhike,na inapotokea anakuwa hawezi swala la kuchukuliana madhaifu linahusika huku akiendelea kumtia moyo kwa upendo kwamba anaweza mdogo mdogo ataweza tu.
 
Last edited by a moderator:

Ni kweli kabisa hivi vitu vinahitaji kufundishana maana hamna anayejua kila kitu. Pia kusaidiana ili wote wanufaike. Huwa sisahau rafiki aliyetaka kumtosa mdada moja kwa madai ya kuwa na harufu mbaya Ikulu. Mengine yalikuwa poa sana kwa maneno yake - tabia nzuri na mzuri vile vile lakini issue ilikuwa hiyo tu. Jamaa yangu alipata shida kupata game ya kwanza kumbe bibie alijua tatizo lake. Nikamshauri aongee naye kwani ni issue ya hospital tu. Kweli wakaongea bibie akawa positive lakini akasema alishakwenda hospital. Nikamwambia hospital gani? Kumbe ilikuwa vizahanati vya mitaani. Nikamshauri aende naye hospitali inayoeleweka. Wakazama Hindu Mandal. Baada ya miezi minne ya vipimo na tiba mambo yakawa safi. Hivi sasa ni mke wake na mtoto mmoja wa kike! Mambo ni kusaidiana!

Copy Tized
 
Asante rafiki kwa ushuhuda mzuri natumai utatusaidia wengi,kumbe alikuwa anataka kutupa dhahabu iliyokuwa na tope! Kumbe ilihitajika isafishwe tu maji. Hapa kuna point nzuri sana mara nyingi wengi tumejikuta tunapishana na baraka zetu sababu tu ya kutokujua na kutotaka kuwajibika, tumesahau kuwa usione vyaelea kumbe vimeundwa.
 
Hahahaaaaa.. Sasa Mkuu Mtambuzi kwa kuwa nyani mzee amekwepa mishale mingi sana, yafaa sasa utupe siri uliotumia mkuu kudumu na mama ngina haswa kwenye nyanja hizo ili vijana wako tupate shule mkuu!!! (tufaidi utambuzi wako)
Tized ukweli ni kwamba nilishawahi kuweka uzi hapa kuzungumzia jambo hilo wakati fulani.
Mtindo wa maisha tunayoishi, vyakula tunavyokula, kujipweteka bila kufanya mazoezi kuiga mikanda ya porn wakati yale ni maigizo tu, na kutumia madawa makali ya hospitali bila kuwa muangalifu. nina maana kwamba Tusiwaamini sana wataalamu wetu wa afya kwani sekta ya afya imevamiwa na wafanyabiashara ambao kwao wanachojali ni fedha kwa hiyo kuandikiwa madawa makali bila kujali afya ya mtumiaji ni jambo la kawaida. Madawa makali yana mchango mkubwa katika kuathiri afya zetu na huwezi kufanya tendo kwa ufanisi kama afya yako ina mgogoro.

Binafsi nachagua vyakula, nafanya mazoezi ya kawaida, ya kutembea kilomita tano kila siku za kazi, natumia tiba mbadala, yaani isiyohusisha madawa ya hospitali na kama nitalazimika kutumia madawa ya hospitali, basi nitahakikisha nimefanya udadisi kwa wataalamu Zaidi ya wawili ili kuwa na uhakika sitaudhuru mwili wangu, SICHEPUKI, lakini pia tendo la ndoa mimi na mama ngina tunalifanya kama sehemu ya burudani na siyo la upande mmoja............


Asprin hujaalikwa pitia mbali hii maneno............
 
Last edited by a moderator:
Tized napenda nikupongeze kwa hii thread na wote mliochangia maana hili limekua janga la taifa tena inasikitisha kuona ni vijana wadogo below 40 wenye tatizo hili. Nimechindwa kusoma comments za wote, lakini hizo chache nilizosoma zimejaa ukweli. Sina hakika kama kuna aliyechangia kuhusu usafi wa mwanamme, wengi nimeona mmeshikilia usafi wa mwanamke tu. Jamani hata wanaume naomba muwe wasafi, kuoga na kupiga mswaki ikibidi kwa wote kabla ya shughuli ni muhimu. Wanaume wengine pia mna papara mno na kutumia nguvu wakati wa tendo. Kama Tized, alivyoanisha kua kila kitu kifanyike kwa utaratibu kutumia akili. sina hakika kwa wanawake wengine lakini kwangu ukiwa na papara simalizi. Nitakuacha uendelee kupaparika umalize, biashara iishie hapo.
 

Kweli kabisa usemayo asante kwa kukazia swala la usafi kwa wanaume,nami nimelisema kidogo kwenye mchango wangu wa kwanza japo sikuanisha sana.

My dear, Mwenye papara usimwache apaparitike,mwelimishe namna ambayo huwa unapenda,yeye anaweza kudhani ndo anafanya vizur kumbe ndo anaharibu,funguka tu usione tabu kutoa elimu,swala la mapenzi ni la wawili si mtu mmoja,hakuna anayejua kila kitu kumbuka tu mtaka cha uvunguni sharti ainame,usione vyaelea.....




.
 
Nilijua tu as usual watu watasema mazoezi na kula vizuri..but hawajiulizi mbona wapo watu wanafanya mazoezi but hawa gain chochote?

Mkuu The Boss kwanza napenda kuungana na wote walio toa michango yao. Kifupi yote yaliyo andikwa kama maoni michango na taaluma sina shaka nayo.

Ilivyo uume unasimama (kwa muda mrefu) kwa msaada wa ubongo, mishipa na moyo. Wenzangu waliotangulia wamegusia zaidi kama sio sana kwenye moyo na mishipa. Hapo ndio maswala ya aina za vyakula yanajitokeza hali kadharika mazoezi ni katika kupata stamina ya mishipa.
Mchango wangu nitaulekeza kwenye ubongo zaidi maana wenyewe ndio hutoa taarifa zote wakati wa shughuli nzima, ingawa kwenye mada ubongo umehusishwa katika kutambua na kukubali mazingira. Lakini tendo thabiti la ndoa hutegemea mawasiliano yenu wahusika hata kabla ya tendo lenyewe. Kifupi ni kwamba mawasiliano yenu huchangia katika kufika au kutofika kileleni kwa mwanamke, wanaume haina tatizo ingawa hutokea kuishiwa nguvu kabla ya mshindo.

Piga picha ya wanandoa wanao fichana kuhusu maswala yao, mfano ME hawapendi kusema matatizo yao kwa wanawake kwa kuhofia kuleta hali ya wasiwasi. Unadhani katika hali hiyo tendo litakuwa la ufanisi? Kuna mifano mingi, lakini tukiweke hii michache katika kushibisha hoja.

Uaminifu, kusikilizana na urafiki katika mahusiano ni chachu, na ili kuimarisha utendaji wa ubongo kuna vitu vya kuepuka kama ulevi na matumizi ya dawa za kulevya na kuwa mkweli kwa nafsi yako naa mwenza wako.
 
You are very right Mkuu, Tafadhali tuwekee chochote cha kuweza kutusaidia kupandisha kiwango chetu cha ufahamu kwenye hii kitu. Tutakushukuru sana kukusoma ili tujifunze zaidi brother maana am convinced you very exposed to these things bro.

Many Thanks!!
Fitness/ exercise IQ ya Wabongo ni ndogo sana!
 
Ukubwa dawa mkuu. Asante sana Mkuu Mtambuzi.

Binafsi nimekua mtata sana kutumia dawa za wazungu.. natumia njia zangu nazozijua za kienyeji enyeji (mazoezi. kunywa maji mengi, malimao, asali (nyuki wadogo), vtnguu swaumu, mdalasini, mitishamba mitishamba kama milonge, miarobaini n.k kulingana na khali) hadi nione imebidi kunywa hizo nyingine. Nimewahi kujishtukia shtukia nikaenda hospitali zaidi ya mara tano tofauti naambiwa nenda tu kapumzike huumwi popote kumbe nakuwa sijapumzika tu vya kutosha.

Kuna hatari kubwa apa ambayo nadhani wengi hatuijui na tunabugia bugia tu dawa. Asante kwa kutukumbusha kaka


 
Last edited by a moderator:
Asante sana Sal kwa kusisitiza apo. Nafikiri wataalamu wa afya humu watusaidie, hii presha tunayokuaga nayo huchagizwa na nini labda.. ubinafsi wetu, kupania sana tendo, too much expectations, kuwa desperate sana na tendo, Kutokuwa/kutafuta utulivu, hali kama unaiba ata sijui, kutokuamini tunayoyaendea nisemeje au ndio mwili unarespond wenyewe hivyo???. Mzizi mkavu tafadhali

Hili ni tatizo haswa dadaangu maana mtu akishakuwa na papara hivyo anakua kama anadhani ndio chance moja tu na hairudi.. akifika anaona ahhhh mbona kawaida tu nini nilikua nakimbilia apa? huko kunamsababisha kupata utulivu na inamchukua muda tena kujenga vizuri akili yake aweze kurudia (Nadhani wengi wanaweza kuwa mashahidi apa)

inabidi wadada mtusaidie sana kutulia. Msemeshe mwenzio apunguze concetration kabla ya kuanza mechi na mguarantee uko pale kwa ajili yake so awe mtulivyo afurahie na ale mema ya nchi kwa utulivu na kwa starehe ( cc everlenk na mwallu). kwa uchunguzi mdogo niliopigisha jamaa zangu stori wanakiri kuna pupa sana mwanzoni ambazo hata wenyewe wanajishangaa ila baada ya mshindo wa kwanza wanapoooa kama sio wao vile, wanaona mbona kawaida tu hamna jipya (samahani lkn). hio hali inawakatisha tamaa ndio maana wengi kurudia inachukua muda wajipange upya tena.

CC watu8, Sibonike, Mtambuzi, BAK, Mentor, Mr Rocky, Ntuzu na wengine woote!!!

 
Last edited by a moderator:
Mkuu 1st AID nikuombe kwanza uachie hio mikono ya hao madogo uliokanyagia apo... hahahahaaaaaa!!!

Asante kwa hekima zako mkuu... Nimependa sana ufafanuzi wako.

Vipi kwa wale wanang'ang'ana kwenye habari ya ''use and misuse'' kwamba kadiri mtu anavyotumika anakuwa fiti zaidi haswa wanaume, Unalisemeaje hili kitaam kaka watu waachane na upotofu huo? (samahani kama itakua nje ya utaalamu wako ila naona umejipambanua vyema na kitaalamu kwenye mchango wako hapa chini)

 
Mie naomba nisisitizie kula vizuri, kufanya mazoezi, usafi wa mwanaume na kujiepusha na uvutaji sigara na ulevi wa kupindukia. Kama walivyozungumzia wachangiaji wengine kula vizuri na mazoezi ni muhimu sana katika kuboresha tendo la ndoa. Usafi wa mwanaume nao ni muhimu sana sio unaacha vuzi limekaa miaka chungu nzima hata kuweza kulisuka rasta. Kuoga na usafi wa kinywa ni mgogoro, hivi havifanywi mpaka siku ya sikukuu. Ulevi wa kupindukia na uvutaji wa sigara ni adui mkubwa wa nguvu za kiume na wanaume wengi sijui kama wanalijua hili na kwa kutaka waonekane na wao ni wa MUJINI huvuta sigara pakiti hata moja kwa siku au zaidi na kilevi cha kutosha bila kujua hii life style inawapunguzia kwa kiasi kikubwa na kasi ya kutisha nguvu zao za kiume.
 
Mkuu Tized michango mingi Ni mizuri niko Na mambo mengi Mkuu Ngoja nikitulia nitaona na Mimi Niseme nini!

Pamoja sn!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…