Tized
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 4,025
- 5,962
- Thread starter
- #41
Kweli na Amina.
everlenk umesema kitu cha msingi sana na hiki kimebeba uzito sana kwenye hili swala. Hii ni route cause ya hii mambo kwa upana sana.. kwa kuwa hakuna threshold ya hii makitu basi kila mtu kijiweni ana njia yake, ana ujuzi wake, ana stori yake, ana uzoefu wake... na kila mtu anajiamini asilimia mia mbili... Kijana wa watu ashike lipi aache lipe, afanye kipi aache kipi, na ana uwezo na kipi.... maana hata akiweza kufanya sawasawa wanawake wote hawafanani kwa hio hatutegei matokeo sawasawa na yule wa kwanza. Huenda laba huyu wa pili anafanyiwa ivyo vitu kumbe alishavizoea zamaaani sana, ila yule wa kwanza ndio ilikua mara ya kwanza kwanza(hajazoea) sasa watu kama hao unategemea matokeo yawe sawa kwa kitu hiko hiko? hapo sasa mtu expectations zinakuwa laki nane kidogo, na ndio stess zinaanzia kumaliza apo na kukosa confo kwa kiwangi cha kutisha.
Maneno na expectations za vijiwe/marafiki/groups ndio stress namba moja kwa msingi huo.
Many thanks.

Haya ngoja nichangie kidogo,ila mambo mengi karibu yote mkuu Tized na Watu 8 wamemaliza.
Kuna jambo dogo sana lakini wengi wanalipuuzia na linawaathiri wanaume wengi bila kujua nalo ni maneno ya vijiweni,kumekuwa na maneno mengi kwamba mwanaume aliyekamilika lazima aende sijui raundi 3 na kuendelea,mara aliyekamilika lazima awe na inch 6,mara sijui style hii mwanaume akifanya lazima mwanamke akuheshimu.
Sasa basi mwanaume anapokutana na mwanamke kimwili anakuwa na matarajio meng kichwani pake kutokana na yale maneno ya vijiweni alosikia anaposhindwa kutimiliza hayo huanza kujiona yeye hafai au labda ana tatizo,hofu hujengeka moyoni mwake tayar hapo ndo mwanzo wa tatizo,hana ujasiri anapokutana na mpenzi wake unakuta hata mshindo mmoja tu inakuwa tabu sana.
La muhimu kila mmoja ajielewe ana uwezo gani,wote hatujaumbwa kulingana,kama wewe uwezo wako ni kimoja kisha ndo upite muda ndo uendelee kubali hali yako boresha hiyo hali yako na mtu wako naye afurahi,yaweza kuwa single but heavy,kama wewe sijui inch 4 jikubali ulivyo boresha hali yako utaona mambo ni mazuri,jua style unazozimudu usisikie maneno ya mtaani,wote hatulingani kuna anayekimbia mita 100,200,400 na wengine marathon lakini siye wote ni wanariadha,kila mmoja aridhike na uumbaji aliopewa aboreshe mazingira yake atafurahia maisha.
Lingine la mwisho naona hapa mmekazia swala la usafi kwa mwanamke ni kweli kabisa ke anahusika sana,ila hata nyie baadhi yenu me ni wavivu sana kuoga,unakuta mwanaume katoka kwenye shughuli zake za mchana kutwa anafikia kukutana na mwanamke hata haogi moja kwa moja kwenye makamuzi,mwili hujapata hata refreshment hapo game likiwa mbaya anajiona mpungufu kumbe tu hajaruhusu mwili nao upate ahueni.
Last edited by a moderator: