Nyeto haina uhusiano na upungufuwa wa nguvu za kiume tuache kudanganya watu....mchawi uzito mkubwa na kutofanya mazoezi na kuto kunywa maji ya kutosha...mtu akizingatia haya anakuwa sawa kabisa kama alivyokuwa zaman....ukiruhusu uzito mkubwa kuliko umbo lako umekwisha.Ukiacha nyeto baaas mtu unapona chap
😂😂😂😂😂😂AiseeeeKunywa bakuli mbili za mchuz wa pweza meza panadol kale mzigo
Hiyo kegel exercise ni nini mkuuukwenye kipengele cha mazoezi..ongezea the so called "kegel exercises" ili kuimarisha stamina ya misuli uume...inapelekea strong and hard erection..ni nzuri mno ii ki2 wadau
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vipi kuhusu matunda ya miti ya michongoma! Na ku boost nguvu..
Mmmhhh ujue kuna watu wanashindwa kujizuia wanapiga shuti la cr7 mapeeeema kabla hata hajavuliwa boxer kisa tu demu kambusu au kamshikashika!!!!very truee.......hapa ukizingua unaweza malizia nje kabisa
Alooooooooo........Kunywa bakuli mbili za mchuz wa pweza meza panadol kale mzigo
Inatumikaje? Lete maelezo
mayai matatu mabichi changanya na Vanilla shake , usiku mmoja kabla ya Zoezi!
Mambo mengine chukua mzigo huo chini hapo.
Huwa natoa mambo mazuri na mafunzo tu....... Mtanishukuru baadae
[emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu weed ni nini ? watu tunapata shida huku bedroom, jogoo haliwezi tene kupanda mtungi, for sure i need some one to assist me, i will pay to avoid these shames
Bandari imeuzwa , wanaume wana mawazo mengi sana, mpaka 2025 wote watakuwa hawana nguvu.Tunywe maji ya kutosha kabla ya gemu,tule vizuri,tutumie muda mwingi kuandaa wadada,unapiga vizuri tu.
ingekuwa hivyo mabaunsa wasingekuwa waathirika wakubwa wa hili
duh watu wako busy sana na anasa/zinaa mpaka wameitungia kitabumayai matatu mabichi changanya na Vanilla shake , usiku mmoja kabla ya Zoezi!
Mambo mengine chukua mzigo huo chini hapo.
Huwa natoa mambo mazuri na mafunzo tu....... Mtanishukuru baadae
Hawa ma specialist wanapatikana kwenye hizi hospital zetu?Nenda hospitali tu,utakunywa sana tangawizi , garlic,tende nk ila bila kupimwa na kujua chanzo cha tatizo lako itakua kazi bure. Hospitali watajua kama ni hormonal imbalance, nerves problem au ni psychological problem wakusaidie vipi. Usione aibu just go and see a specialist.
Nenda hospitali za rufaa ,kanda specialist wapo chief.Hawa ma specialist wanapatikana kwenye hizi hospital zetu?