Nasikia hata nyie huwa mnalalamika juu ya quickies (kijiweni kijiweni)
sio wote best unajua kuna watu wamekuwa watumwa na wamekariri tendo lazima ufanye hivi na hivi ili mwanaume/mwanamke afurahi..uongo kaa nae ongea nae anataka nini na afanyiwe nini suprize tamu ujue...ile kitu mambo ya maneno ya salon na kijiweni hayana ukweli
Hapo kuna watu wanaona wataonekana washamba au hawajui kuwasoma wapenzi wao... kwa hio wanafanya ya kwao wakijua ndio yanayotakikana... Maongezi ni muhimu sana at each stage!!!!
washamba hao ambao wanaogopa kuongea...mpenzi mfanye kama rafiki kuwa na uhuru wa kuongea nae .utaona raha sana kama mtakuwa mnaongea..utamsomeje wakati kila hamu inakuwa tofauti
Mkuu Tized ninashukuru sana kwa kunialika katika kuchangia uzi huu muhimu sana ambapo suala la kungonoka kati ya wawili wapendanao limekuwa ni tatizo sana. Tena mbaya zaidi hata vijana ambao hata 40s hawajatimiza lakini wana tatizo kubwa sana. Matokeo yake wamekuwa wakiishia kununua madawa ya kichina au hata kupost humu kuwa wanahitaji msaada. Uliyoyasema hapo kwenye post yako ni haswa habari yenyewe na hakika hata kama umri umeenda lakini kama utazingatia life style na mengine basi hata siku moja hutashindwa kumridhisha mke au mpenzi wako. Mimi kama Zogwale ambaye kiumri niko mbali lakini maisha ya ndani si tatizo kabisa japo siwezi kuwa sawa na wakati ule nikiwa katika 20s na 30s. Cha msingi:
(a) Epuka kuwa na wapenzi wengi kwa kuwa at times unaiikuta nguvu zako kimapenzi zinapungua due to overdose/use.
(b) Epuka magomvi kati yenu na kama ikitokea kuhitilafiana basi kabla hamjaingia kulala yamalizeni tena kama hali inaruhusu malizia na penzi la aina yake. Hapa hamtakaa mchokane,
(c) Mazoezi wewe na mwenzio, kama hajitumi andaeni programme ya mazoezi pamoja. Wote hapa mtakuwa active sana.
(d) Chakula ni dawa na ni sumu!!!!!! kwa nguvu za mapenzi!!!! Epuka vyakula vya kuunga sana!!! Prefer mchemsho. Kula whole grain - kwangu tunakula dona limechanganywa soya, karanga, ulezi, mtama i.e ni lishe tunapikia ughali.
(f) Matunda, mboga za majani na maji mengi.
(g) Pombe natumia occasionally na wine on and off. Kwa hapa wenzangu wa umri wangu walevu wanaonekana wazee mno.
(h) Epuka red meat, kula protein za nafaka na white meat.
(I) Karanga na jamii yake, water melon na mbegu zake, boga na mbegu zake!!!!
Kwa hayo na mengine huna sababu ya Viagra au madawa ya kichina.
Nawasilisha mkuu. Nilikuwa off JF kwa muda kidogo.Sorry for late response.
(d) Chakula ni dawa na ni sumu!!!!!!
Mkuu Tized point nzuri zikiongezeka niiite na mimi bana! Hujui tunawasaidia na wenzenu huku,huu uzi una haja ya kuwa sticky.
Yep, wanasema chukulia chakula kama dawa.
Kabla ya kula jiulize hicho chakula kitakusaidia nini mwilini mwako?
Probably, utakuta vingi unavyokula havikusaidii kiafya.
Sababu ya pili nafikiri pia kipato na upatikanaji wa vitu (japo walionavyo pia hawazingatii
Baadhi ya walio na kipato pia wanaongoza kwa kuwa na afya mbaya bila kujijua.
Still I don't get it mtu anaenda supermarket kununua samaki wa maboksi kutoka South Africa wakati anaweza kupata samaki fresh pale magogoni na kwingineko.
Au sijui mtu anaenda kununua matunda kutoka nje kwenye supermarket wakati anaweza kununua matunda fresh sokoni Kariakoo.
umenikumbusha quote moja ''a celebrite is someone who struggles all his life to be famous, and thereafter he wares dark glasses to avoid beeing recognized by people''
Mkuu mimi Siwezi kuongeza kitu chochote wala kutoa ushauri wowote hapa . Hili Suala tumesha lizungumzia kwenye Jukwaa la JF Doctor inatosha kabisa ukitaka kulisoma Thread kama hii bonyeza hapa.[h=1]Topic: Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga][/h]
Remind me the case of Gazza, the man once dubbed England's greatest-ever footballer.
The cheekily fresh-faced teenager on the left is lost forever as latest pictures show a stumbling wreck of a man once thought of as the saviour of English football: Paul Gascoigne's changing face: How booze-fuelled life has taken its toll on weary Gazza - Mirror Online
Kulia hapo kama alivyoonekana jana baada ya kuwa evicted na mwenye nyumba. Pombe mbaya. Drink responsibly.
Mkuu mimi Siwezi kuongeza kitu chochote wala kutoa ushauri wowote hapa . Hili Suala tumesha lizungumzia kwenye Jukwaa la JF Doctor inatosha kabisa ukitaka kulisoma Thread kama hii bonyeza hapa.Topic: Ejaculation Problems: Too Fast, Too Slow or Not at All? [Kuwahi au kuchelewa kumwaga]
Nijuavyo mimi ukitaka kuchelewa kuwahi kufika mapema wewe kama mwenzako inabidi uwe unafanya mapenzi kwa wiki japo mara 3 au mara 4 hiyo itakusaidia wewe mwanamme kuchelewaTunashukuru sana kwa link mkuu!! nimejaribu kuipitia, karibia yote yako hapa. Likiwemo la nyongeza mkuu tutafarijika sana kukusikia.