Suluhisho rahisi kwa wanaodhani wamepungukiwa nguvu, wanaosumbuka kurudia tendo au kuwahi kufika

sio wote best unajua kuna watu wamekuwa watumwa na wamekariri tendo lazima ufanye hivi na hivi ili mwanaume/mwanamke afurahi..uongo kaa nae ongea nae anataka nini na afanyiwe nini suprize tamu ujue...ile kitu mambo ya maneno ya salon na kijiweni hayana ukweli

Nasikia hata nyie huwa mnalalamika juu ya quickies (kijiweni kijiweni)
 
Hapo kuna watu wanaona wataonekana washamba au hawajui kuwasoma wapenzi wao... kwa hio wanafanya ya kwao wakijua ndio yanayotakikana... Maongezi ni muhimu sana at each stage!!!!
sio wote best unajua kuna watu wamekuwa watumwa na wamekariri tendo lazima ufanye hivi na hivi ili mwanaume/mwanamke afurahi..uongo kaa nae ongea nae anataka nini na afanyiwe nini suprize tamu ujue...ile kitu mambo ya maneno ya salon na kijiweni hayana ukweli
 
anaetaka dawa ya kuongeza nguvu za kiume ani pm nimsaidie
 
washamba hao ambao wanaogopa kuongea...mpenzi mfanye kama rafiki kuwa na uhuru wa kuongea nae .utaona raha sana kama mtakuwa mnaongea..utamsomeje wakati kila hamu inakuwa tofauti
Hapo kuna watu wanaona wataonekana washamba au hawajui kuwasoma wapenzi wao... kwa hio wanafanya ya kwao wakijua ndio yanayotakikana... Maongezi ni muhimu sana at each stage!!!!
 
Ndivyo inatakiwa iwe best yangu.... Lakini si unajua wengi wao hawako huru na wapenzi wao wa kweli... wanakua tu huru na michepuo? Sijui kwa nini lakini. wakiwa na wapenzi wao wa kweli full heshima, adabu na utii Hahahahahaaaa
washamba hao ambao wanaogopa kuongea...mpenzi mfanye kama rafiki kuwa na uhuru wa kuongea nae .utaona raha sana kama mtakuwa mnaongea..utamsomeje wakati kila hamu inakuwa tofauti
 
Mkuu Tized ninashukuru sana kwa kunialika katika kuchangia uzi huu muhimu sana ambapo suala la kungonoka kati ya wawili wapendanao limekuwa ni tatizo sana. Tena mbaya zaidi hata vijana ambao hata 40s hawajatimiza lakini wana tatizo kubwa sana. Matokeo yake wamekuwa wakiishia kununua madawa ya kichina au hata kupost humu kuwa wanahitaji msaada. Uliyoyasema hapo kwenye post yako ni haswa habari yenyewe na hakika hata kama umri umeenda lakini kama utazingatia life style na mengine basi hata siku moja hutashindwa kumridhisha mke au mpenzi wako. Mimi kama Zogwale ambaye kiumri niko mbali lakini maisha ya ndani si tatizo kabisa japo siwezi kuwa sawa na wakati ule nikiwa katika 20s na 30s. Cha msingi:
(a) Epuka kuwa na wapenzi wengi kwa kuwa at times unaiikuta nguvu zako kimapenzi zinapungua due to overdose/use.
(b) Epuka magomvi kati yenu na kama ikitokea kuhitilafiana basi kabla hamjaingia kulala yamalizeni tena kama hali inaruhusu malizia na penzi la aina yake. Hapa hamtakaa mchokane,
(c) Mazoezi wewe na mwenzio, kama hajitumi andaeni programme ya mazoezi pamoja. Wote hapa mtakuwa active sana.
(d) Chakula ni dawa na ni sumu!!!!!! kwa nguvu za mapenzi!!!! Epuka vyakula vya kuunga sana!!! Prefer mchemsho. Kula whole grain - kwangu tunakula dona limechanganywa soya, karanga, ulezi, mtama i.e ni lishe tunapikia ughali.
(f) Matunda, mboga za majani na maji mengi.
(g) Pombe natumia occasionally na wine on and off. Kwa hapa wenzangu wa umri wangu walevu wanaonekana wazee mno.
(h) Epuka red meat, kula protein za nafaka na white meat.
(I) Karanga na jamii yake, water melon na mbegu zake, boga na mbegu zake!!!!

Kwa hayo na mengine huna sababu ya Viagra au madawa ya kichina.
Nawasilisha mkuu. Nilikuwa off JF kwa muda kidogo.Sorry for late response.
 
Last edited by a moderator:
Many Thanks Mkuu Zogwale, Tunashukuru sana kwa hekima na busara zako hapa. Binafsi umenigusa sana.

Mkuu hili la donna nahama nalo, mimi ni muumini mzuri sana kwenye uasilia (nafaka, michemsho, choma etc), sema sijawahi kuwaza juu ya karanga na soya kwenye donna, Nitalifanyia kazi hili namalizia aka kalikobakia nihamie eateli.

Mkuu Zogwale walioko kwenye ndoa wakizingalia ulioainisha apa chini, michepuko tutaisikia tu kwenye vyombo vya habari.

Asante sana Mkuu.
Wakuu pitieni hizo point a -i hapo... BAK Mr Rocky, 1st AID, watu8, Ntuzu, Excel, mwekundu, Sibonike, kabanga, Mtambuzi, Mentor, kiwatengu, EMT, OLESAIDIMU, utafiti, Mndengereko, et al.
Mkuu Tized ninashukuru sana kwa kunialika katika kuchangia uzi huu muhimu sana ambapo suala la kungonoka kati ya wawili wapendanao limekuwa ni tatizo sana. Tena mbaya zaidi hata vijana ambao hata 40s hawajatimiza lakini wana tatizo kubwa sana. Matokeo yake wamekuwa wakiishia kununua madawa ya kichina au hata kupost humu kuwa wanahitaji msaada. Uliyoyasema hapo kwenye post yako ni haswa habari yenyewe na hakika hata kama umri umeenda lakini kama utazingatia life style na mengine basi hata siku moja hutashindwa kumridhisha mke au mpenzi wako. Mimi kama Zogwale ambaye kiumri niko mbali lakini maisha ya ndani si tatizo kabisa japo siwezi kuwa sawa na wakati ule nikiwa katika 20s na 30s. Cha msingi:
(a) Epuka kuwa na wapenzi wengi kwa kuwa at times unaiikuta nguvu zako kimapenzi zinapungua due to overdose/use.
(b) Epuka magomvi kati yenu na kama ikitokea kuhitilafiana basi kabla hamjaingia kulala yamalizeni tena kama hali inaruhusu malizia na penzi la aina yake. Hapa hamtakaa mchokane,
(c) Mazoezi wewe na mwenzio, kama hajitumi andaeni programme ya mazoezi pamoja. Wote hapa mtakuwa active sana.
(d) Chakula ni dawa na ni sumu!!!!!! kwa nguvu za mapenzi!!!! Epuka vyakula vya kuunga sana!!! Prefer mchemsho. Kula whole grain - kwangu tunakula dona limechanganywa soya, karanga, ulezi, mtama i.e ni lishe tunapikia ughali.
(f) Matunda, mboga za majani na maji mengi.
(g) Pombe natumia occasionally na wine on and off. Kwa hapa wenzangu wa umri wangu walevu wanaonekana wazee mno.
(h) Epuka red meat, kula protein za nafaka na white meat.
(I) Karanga na jamii yake, water melon na mbegu zake, boga na mbegu zake!!!!

Kwa hayo na mengine huna sababu ya Viagra au madawa ya kichina.
Nawasilisha mkuu. Nilikuwa off JF kwa muda kidogo.Sorry for late response.
 
Last edited by a moderator:
(d) Chakula ni dawa na ni sumu!!!!!!

Yep, wanasema chukulia chakula kama dawa.

Kabla ya kula jiulize hicho chakula kitakusaidia nini mwilini mwako?

Probably, utakuta vingi unavyokula havikusaidii kiafya.
 
Mkuu Tized point nzuri zikiongezeka niiite na mimi bana! Hujui tunawasaidia na wenzenu huku,huu uzi una haja ya kuwa sticky.
 
Last edited by a moderator:
Apologies!!! Nafurahi my dear pamoja na kukulia bati umerejea kuperuzi... Najua jamaa atanufaika sana na hizi nondo apa... nautafutia muda niukalie na kanote book kangu. uzi umesheheni sana.

Mkuu Tized point nzuri zikiongezeka niiite na mimi bana! Hujui tunawasaidia na wenzenu huku,huu uzi una haja ya kuwa sticky.
 
Mkuu nadhani elimu ya lishe na tamaduni zetu zinatuathiri kiasi kikubwa.... Kuna makabila hapa nyumbani kadiri unavyonenepa ndio unaonekana una maisha bora... na kadiri unavyokua slim ndio unaonekana mambo yapo kombo.

Kwa watu wasio na ufahamu mzuri.. bado wanapambana kuwa na mavitambi kubeba yasiowahusu n.k. Sababu ya pili nafikiri pia kipato na upatikanaji wa vitu (japo walionavyo pia hawazingatii)

Yep, wanasema chukulia chakula kama dawa.

Kabla ya kula jiulize hicho chakula kitakusaidia nini mwilini mwako?

Probably, utakuta vingi unavyokula havikusaidii kiafya.
 
Sababu ya pili nafikiri pia kipato na upatikanaji wa vitu (japo walionavyo pia hawazingatii

Baadhi ya walio na kipato pia wanaongoza kwa kuwa na afya mbaya bila kujijua.

Still I don't get it mtu anaenda supermarket kununua samaki wa maboksi kutoka South Africa wakati anaweza kupata samaki fresh pale magogoni na kwingineko.

Au sijui mtu anaenda kununua matunda kutoka nje kwenye supermarket wakati anaweza kununua matunda fresh sokoni Kariakoo.
 
Nafikiri wengi tunadhani kununua ayo ndio kumaintain status au vitu vingine vya kijinga kama hivyo!! pia ulimbukeni na uoga wa macho ya watu nao ni tatizo kwa wengine!!!! au pengine kutokujua... wenye akili na ufahamu wao na wanaojua upatikanaji na utegenezaji wa hivi vitu wanavikimbia kama ukoma.... sema kwa wale ambao bado tunaona kununua nyama (vibudu), mayai, matunda, mbogamboga super markets ni kurahisisha maisha au kuonesha utofauti tutaendelea tu kujimaliza wenyewe etc....

umenikumbusha quote moja ''a celebrite is someone who struggles all his life to be famous, and thereafter he wares dark glasses to avoid beeing recognized by people''
Baadhi ya walio na kipato pia wanaongoza kwa kuwa na afya mbaya bila kujijua.

Still I don't get it mtu anaenda supermarket kununua samaki wa maboksi kutoka South Africa wakati anaweza kupata samaki fresh pale magogoni na kwingineko.

Au sijui mtu anaenda kununua matunda kutoka nje kwenye supermarket wakati anaweza kununua matunda fresh sokoni Kariakoo.
 
umenikumbusha quote moja ''a celebrite is someone who struggles all his life to be famous, and thereafter he wares dark glasses to avoid beeing recognized by people''

Remind me the case of Gazza, the man once dubbed England's greatest-ever footballer.

The cheekily fresh-faced teenager on the left is lost forever as latest pictures show a stumbling wreck of a man once thought of as the saviour of English football: Paul Gascoigne's changing face: How booze-fuelled life has taken its toll on weary Gazza - Mirror Online

Kulia hapo kama alivyoonekana jana baada ya kuwa evicted na mwenye nyumba. Pombe mbaya. Drink responsibly.

Gazza-main.jpg
 
Mkuu hii kitu ina somo kubwa sana haswa kwa sisi vijana, Tunapopata fursa tuzitumie vyema na kijiwekea akiba na investments za kutusaidia kesho...(Tuwe na Kiasi kwenye kila kitu'' Tomorrow is never late for Gods sake!!!! Ona mtu kama Tyson naye hopeless sasa... you name them Bongo hapa ndio usiseme..

Many thanks... Its a wake up call to all of us!!!
Remind me the case of Gazza, the man once dubbed England's greatest-ever footballer.

The cheekily fresh-faced teenager on the left is lost forever as latest pictures show a stumbling wreck of a man once thought of as the saviour of English football: Paul Gascoigne's changing face: How booze-fuelled life has taken its toll on weary Gazza - Mirror Online

Kulia hapo kama alivyoonekana jana baada ya kuwa evicted na mwenye nyumba. Pombe mbaya. Drink responsibly.

Gazza-main.jpg
 
Tunashukuru sana kwa link mkuu!! nimejaribu kuipitia, karibia yote yako hapa. Likiwemo la nyongeza mkuu tutafarijika sana kukusikia.
Nijuavyo mimi ukitaka kuchelewa kuwahi kufika mapema wewe kama mwenzako inabidi uwe unafanya mapenzi kwa wiki japo mara 3 au mara 4 hiyo itakusaidia wewe mwanamme kuchelewa

kuwahi kufika mapema golini kabla ya mwenzako. Mbinu ya pili ukitaka uwe na nguvu kwenye tendo la ndoa usile chakula masaa 6 kabla ya kufanya tendo la ndoa utakuwa na nguvu za kiume imara. Kwani kula chakula kunasababisha wewe

Mwanamme ufike haraka golini na kufunga goli mapema kabla ya mwenzako naye hajamaliza utakuwa wewe umekwisha maliza.

Ushauri wangu: Kama ni Mlevi acha kunywa pombe, kama ni mvutaji sigara acha kuvuta Sigara,kama ni Mlaji wa mirungi acha kula mirungi, kama ni mpigaji wa Punyeto acha

kupiga Punyeto, kama ni muangaliaji wa video chafu za matusi acha kuangalia hizo video pia zinasababisha mtu kupiga Punyeto.
 
Ok! heshima kwa wakubwa kwanza, I think ninaweza toa mchango katika hili swala la premature ejaculation/kuwahi kufika kileleni.Guys this is out of my own experience,nasema kitu ambacho nina uhakika nacho vinginevyo ninge tulia kimya.....Ukweli wengi tunalijua tatizo la P.E japo tunatofautiana viwango ila nadhani kufika kileleni chini ya dakika 7 sio normal kama tunavyo fikiri. Japo sex is not only about how long but how good ila bado uhalisia ni huo. Nitajaribu kuandika thread vizuri juu ya njia niliyo itumia mimi kuongeza my sex stamina,no stress! rahisi sana..I promise...kwasasa ninachoweza kusema ni kwamba kufika kileleni mapema kwa wengi wetu sio tatizo bali ni TABIA! kwahiyo ni swala la kuelewa njia zitazo rudisha stamina yako...Hakuna dawa,ndani ya wiki moja tu unatoka katika kumwaga ndani ya dakika 5 hadi 15 au zaidi!!! Nime experience,with a hard erection I dicide when to ejaculate! Penye nia pana njia..kwa wenye maswali kabla sijaja na Thread nzima juu ya hii kitu just PM me> pamoja sana.
 
Back
Top Bottom