sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
Yule fedhuli mwenye roho ya korosho,
Mwenye hoja zisizo mashiko,
Anadhani katiba ni hadithi za esopo,
Kila mara hutoa boko,
Kwasasa amekosa soko,
Kila kona mi miwasho,
Mikali zaidi ya ile ya uamsho,
Ataipata ya joto,
Kiti kitawaka moto.
Wahuni wenye mikoko,
Wanaotegemea pisto,
Walokiuka miiko,
Wanatishia msako,
Na wakauza vitisho,
Vipi hivyo zaidi ya vilivyopo?
Au nani afahamu, mdude nyangali alipo?
Kuna jipya zaidi ya hapo?
Vipi kama hatuogopi kifo,
Kuokoa kizazi kilichopo?
Wanataka tuokote tuzurure dampo,
Tukiokota makopo,
Tumboni mlo mmoko,
Wao, wawakusanye watoto,
Waende kula viapo,
Wakijiandaa kugawana maokoto,
Ukihoji uambiwe, acha fyokofyoko,
Hakika, hilo halipo.
Do you think we are stupido? Ooh samito, what the fako? Imfikie dsm lopolopo.
Mwenye hoja zisizo mashiko,
Anadhani katiba ni hadithi za esopo,
Kila mara hutoa boko,
Kwasasa amekosa soko,
Kila kona mi miwasho,
Mikali zaidi ya ile ya uamsho,
Ataipata ya joto,
Kiti kitawaka moto.
Wahuni wenye mikoko,
Wanaotegemea pisto,
Walokiuka miiko,
Wanatishia msako,
Na wakauza vitisho,
Vipi hivyo zaidi ya vilivyopo?
Au nani afahamu, mdude nyangali alipo?
Kuna jipya zaidi ya hapo?
Vipi kama hatuogopi kifo,
Kuokoa kizazi kilichopo?
Wanataka tuokote tuzurure dampo,
Tukiokota makopo,
Tumboni mlo mmoko,
Wao, wawakusanye watoto,
Waende kula viapo,
Wakijiandaa kugawana maokoto,
Ukihoji uambiwe, acha fyokofyoko,
Hakika, hilo halipo.
Do you think we are stupido? Ooh samito, what the fako? Imfikie dsm lopolopo.