Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
why wasting time with useless articles gentleman?šWewe mbona haujatoa hoja yoyote zaidi ya kusema nonsense
why wasting time with useless articles gentleman?šWewe mbona haujatoa hoja yoyote zaidi ya kusema nonsense
Hiki ni kichekeshowhy wasting time with useless articles gentleman?š
Kumbe siku hizi Mpwapwa sekondari wanafundisha PCM??Nimepiga Mpwapwa sekondari pale
Enzi hizo ilikuepoKumbe siku hizi Mpwapwa sekondari wanafundisha PCM??
ngoja nicheke mimi gentlemanHiki ni kichekesho

4. Kuanzisha mchakato wa kupata katiba mpya
Tume ya uchunguzi ya jaji Othman Chande katika mapendekezo yake imesema kuwa ili Tanzania irejeshe amani ni lazima katiba mpya iwe imepitakana kabla ya mwaka 2030. Na tena kwa bahati nzuri suala la katiba mpya ni ajenda ya vyama vyote kwa hiyo hakuna sababu ya kuendelea kulipotezea swala hili.
2015Ulimaliza mwaka gani?
Mkuu hawa jamaa ndo ibilisi halisi aliyezungumzwa Kwa bible.Kaah unataka kusema ni wabaya kiasi hicho
Dah! Itakuwa bomba sana. Naweza nikapata hata na teuzi eeh (sorry mm sio chawa sitaki sitaki) acha nipambane huku huku kitaani nitatoka tu.Umeandika ukweli mtupu kwa kila mzalendo.
Wafuatao waione:
Mh.RAIS WA JMT,
CDF;MKUNDA,
DGIS; MOMBO,
IGP; WAMBURA,
WABUNGE WOTE WA JMT NA BARAZA LA WAWAKILISHI,
WATANZANIA WOTE WAIPENDAO NCHI YAO.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Au nitatekwa nini wakiona.Umeandika ukweli mtupu kwa kila mzalendo.
Wafuatao waione:
Mh.RAIS WA JMT,
CDF;MKUNDA,
DGIS; MOMBO,
IGP; WAMBURA,
WABUNGE WOTE WA JMT NA BARAZA LA WAWAKILISHI,
WATANZANIA WOTE WAIPENDAO NCHI YAO.
MUNGU IBARIKI TANZANIA.
Eti eeh. Unajua hata mimi nawaangaliaga kwa wasiwasi sana. Ni kama vile wanataka kuiba kila kitu wawe mazilionea alafu wapite vile.Mkuu hawa jamaa ndo ibilisi halisi aliyezungumzwa Kwa bible.