A Anonymous Guest Nov 2, 2026 #1 Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana. Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma. k
Kampuni ya SUMAJKT GUARD hawaweki pesa kwenye mfuko wa PSSSF kwa wafanyakazi wake kila wakiulizwa wanakuwa wakali sana. Nipo Dodoma na shida ipo kote Tanzania zima, Kanda ya Kati ila tatizo lipo kotekote Tanzania nzima. Suma JKT Guard Dodoma. k
Frank Wanjiru Platinum Member Joined Apr 12, 2012 Posts 25,686 Reaction score 46,842 Nov 2, 2026 #2 Mbuzi wa bwana heri
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,569 Reaction score 43,614 Nov 2, 2026 #3 Suma mnapokea mshahara wa laki moja kwa mwezi??