je ikiwa umedondoka tu porini na hujafukiwa ukirudishiwa roho na kuamka vipi ukipiga kelele?? maana porini huzikwi utaoza had kuisha kabisa na kusalia mifupa.
Jiulize, ukiliwa na simba au kumezwa na chatu su mamba?
Je ukizama baharini ukaliwa na samaki? Ukiungua moto hadi majivu? Mtu akifia huko mwezini na asirudi?