Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Jiulize, ukiliwa na simba au kumezwa na chatu su mamba?je ikiwa umedondoka tu porini na hujafukiwa ukirudishiwa roho na kuamka vipi ukipiga kelele?? maana porini huzikwi utaoza had kuisha kabisa na kusalia mifupa.
Nadhani hii ni nadharia kifo ni siri nzito sana.
Je ukizama baharini ukaliwa na samaki? Ukiungua moto hadi majivu? Mtu akifia huko mwezini na asirudi?