Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Nyakati ngumu huhitajika kuumiza kichwa mara nyingi zaidi kuliko kipindi cha raha mustarehe.
Sasa hivi SUMATRA inataka vyombo vya usafiri viwe level seats lakini haitoi majibu ya mipango ya aina gani wanaweza kutumia usafiri wa mabasi hayahaya ya daladala yaliyopo nchini kuweza kuhudumia watu kwa ufanisi zaidi licha ya kutakiwa level seat.
Utaratibu huu wa sasa wa Level seat unanufaisha kituo cha mwanzo wa safari na mwisho wa safari, nikimaanisha kuwa watu wote wanaosubiria usafiri katika vituo vya katikati wanakuta gari zimeshajaa toka huko walipotoka
Sasa napendekeza njia ya kupunguza hili tatizo kwa kiwango kikubwa
1. Katika route husika let say ya Makumbusho hadi Bunju, badala ya daladala zote kuanza safari zao kuanzia Makumbusho na kuishia bunju hizi daladala ziwe distributed katika hiyo route, kwa mfano ziwepo daladala zitakazoanzia Makumbusho, ziwepo zitakazoanzia bamaga, ziwepo zitakazoazia makongo hivyohivyo mpaka nusu ya route, na upande wa pili wa route hivyo hivyo. Lengo hapa ni kwa ajili ya kusaidia watu wote wa katikati na mwishoni mwa safari. Sasa ili kuwa fair kwa magari yote ili kila moja liweze kuanzia kituo fulani inaweza kuwepo utaratibu wa rotation ya vituo kila baada ya muda fulani kwa utaratibu utakaoanzishwa na kusimamiwa na Sumatra yenyewe.
2. Jambo jingine ni kuruhusu magari ya mikoani ambayo yapo idle katika siku husika kwenda kujaza gepu katika route ambazo zina uchache wa magari
3. Njia ya tatu ni kufanya kama alivyopendekeza kiongozi wa ACT ndugu Zitto katika barua aliyomuandikia rais kuwa Jeshi litoe magari ya jeshi kusaidia usafiri wa wananchi katika sehemu mbalimbali nchini. Waziri wa Uchukuzi na Usafirishaji amuombe rais aidhinishe magari ya Jeshi yatumike kipindi hiki na SUMATRA ifanye coordination na JWTZ kusaidia kuwezesha jambo hili lifanikiwe.
Mafuta yatatoka wapi?, Nauli za Abiria na Subsidy kidogo kutoka serikalini
Sumatra wawe wabunifu