Pre GE2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Una
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia

Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza Tanzania zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

Sumaye aliyasema hayo leo wilayani Hanang, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, anayetembelea mikoa mitano.

“Hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Samia Suluhu Hassan, acha nje ya CCM hata ndani ya CCM, hakuna mtu atakayeiongoza hii nchi, atayeiendesha kama inavyokwenda zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

“Hata ndani ya CCM hayupo, sembuse nyie nje kuna nini! Husikii wenyewe wameparura hovyo hawajapata madaraka wanaparurana,wakipata si tutakoma, amesema Sumaye.

Source: Nipashe
Unamzungumzia mrZero!?,kati ya watu hopeless ni Frederick Tluway Sumaye,hakuna kitu ambacho alifanya akiwa mbunge wetu wa Hanang',he used to be a curse,amezidiwa kwa mbali na mama Nagu.Jimbo la Hanang'ni jepesi mno kwa jamaa wa people's sema nn huwa hawashauriki huwa wanaletaga mgombea mjuaji Magoma Derick Jr,ni jimbo ambalo watu wake wamekosa visionary leadership angalau Mama Nagu sema aliendekeza machawa.Eng.Hhayuma hakushinda ndani ya chama ni hila na figisu za ukabila za Sumaye na udikteta wa mwendazake,shujaa wako mnafiqw johnthepatist
 
Mama Anatosha na Chenji inabaki,anaebisha anyanyue mkono Juu na amtaje anaemzidi
 
Mungu alitukomoa kutupa vitu viwili, tumbo na hamu ya tendo
 
Maana halisi ya Wazee wa hovyo.
Anazeeka vibaya na atakufa vibaya huyu namhurumia huyuuuu...
Huyu ni bogus tangu siku nyingi. Ukiona mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu kunusurika kutapeli na wale matapeli wanaopiga simu kuwa umeshinda bahari nasibu bila kucheza ujue kichwa chake kimejaa tamaa na tope.
 
Una

Unamzungumzia mrZero!?,kati ya watu hopeless ni Frederick Tluway Sumaye,hakuna kitu ambacho alifanya akiwa mbunge wetu wa Hanang',he used to be a curse,amezidiwa kwa mbali na mama Nagu.Jimbo la Hanang'ni jepesi mno kwa jamaa wa people's sema nn huwa hawashauriki huwa wanaletaga mgombea mjuaji Magoma Derick Jr,ni jimbo ambalo watu wake wamekosa visionary leadership angalau Mama Nagu sema aliendekeza machawa.Eng.Hhayuma hakushinda ndani ya chama ni hila na figisu za ukabila za Sumaye na udikteta wa mwendazake,shujaa wako mnafiqw johnthepatist
Mjibu Kwa hoja acha povu.Anaebisha kwenye Hilo hapa ainue mkono Juu na ajibu hoja 👇👇
Screenshot_20240531-062801.jpg
 
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia

Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza Tanzania zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

Sumaye aliyasema hayo leo wilayani Hanang, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, anayetembelea mikoa mitano.

“Hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Samia Suluhu Hassan, acha nje ya CCM hata ndani ya CCM, hakuna mtu atakayeiongoza hii nchi, atayeiendesha kama inavyokwenda zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

“Hata ndani ya CCM hayupo, sembuse nyie nje kuna nini! Husikii wenyewe wameparura hovyo hawajapata madaraka wanaparurana,wakipata si tutakoma, amesema Sumaye.

Source: Nipashe
Uzee unampeleka pabaya!
 
Na yeye ukifikiria alishawahi kuutaka urais unachoka kabisa!!!! Hivi sifa kuu ya mwana sisiemu nikutoa akili au?
 
Mjibu Kwa hoja acha povu.Anaebisha kwenye Hilo hapa ainue mkono Juu na ajibu hoj
Nadhani hujanielewa,nili
Mjibu Kwa hoja acha povu.Anaebisha kwenye Hilo hapa ainue mkono Juu na ajibu hoja 👇👇View attachment 3005417
Nadhani hujanielewa,nilitoka nje ya mada,sitokwi,sijatokwa na sitotokwa na povu,sijabisha khs kazi za Samia ila nimemzungumzia mzee wangu Mr.Zero ambaye hajaacha legacy yoyote Hanang',kuhusu kazi za Rais sina mashaka.Kinachonikwaza ni tabia za uchawa kusambaa mpk kwa mzee km Sumaye
 
Waziri mkuu Mstaafu na mwenyekiti Mstaafu wa Chadema Kanda ya Mashariki amesema hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza nchi hii ya Tanzania zaidi ya Dr Samia

Sumaye alikuwa anamueleza Katibu mkuu wa CCM Dr Nchimbi
---
WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amesema hakuna anayeweza kuongoza Tanzania zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

Sumaye aliyasema hayo leo wilayani Hanang, wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi, anayetembelea mikoa mitano.

“Hakuna mtu mwingine anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Samia Suluhu Hassan, acha nje ya CCM hata ndani ya CCM, hakuna mtu atakayeiongoza hii nchi, atayeiendesha kama inavyokwenda zaidi ya Samia Suluhu Hassan.

“Hata ndani ya CCM hayupo, sembuse nyie nje kuna nini! Husikii wenyewe wameparura hovyo hawajapata madaraka wanaparurana,wakipata si tutakoma, amesema Sumaye.

Source: Nipashe
Kwa hiyo ilitokea bahati mbaya Rais Samia akipendwa zaidi na Mwenyezi Mungu kama ilivyotokea kwa Rais Magufuli basi nchi hii ya Tanzania nayo itafutika kutoka katika uso wa dunia eti kwa sababu hakuna tena mtu mwingine ambaye ataweza kuitawala?
 
Kauli ya Mzee wetu baada ya CCM kumrudishia mashamba na stahiki zake zote.
 
Huyu ni bogus tangu siku nyingi. Ukiona mtu aliyewahi kuwa waziri mkuu kunusurika kutapeli na wale matapeli wanaopiga simu kuwa umeshinda bahari nasibu bila kucheza ujue kichwa chake kimejaa tamaa na tope.
Ha ha ha..hilo jitu hakuna kitu kwa head kabisa.
 
Back
Top Bottom