Pre GE2025 Sumaye: Hakuna anayeweza kuongoza hii nchi zaidi ya Rais Samia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mzee kuwa chawa haipendezi kabisa
 
Unahangaika na walioiba wakashiba. Nchi Ina watu zaidi ya million 60. Who is sa100? Yaani tukose viongozi wazuri kweli zaidi ya hili mama la hovyo? Stupid sumaye
 
Aliyempa huyu mzee jina la Mr Zero ajengewe mnara.
 
Kwa hiyo ilitokea bahati mbaya Rais Samia akipendwa zaidi na Mwenyezi Mungu kama ilivyotokea kwa Rais Magufuli basi nchi hii ya Tanzania nayo itafutika kutoka katika uso wa dunia eti kwa sababu hakuna tena mtu mwingine ambaye ataweza kuitawala?
Ndio itabidi Mimi nijitole roho yangu tumpatie Kiongozi wetu mpendwa ambaye bila yeye hakuna nchi kama Tanzania
 
Naunga mkono hoja
 
Hivi itokee wadau wakampendekeza yeye agombee ataukataa?
 
Huyu mchumia tumbo bado yupo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…