asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
Aiseeeeh wakiendelea kutawala Tembo wetu wataisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UKAWA wasichokozwe wakachokozeka. Ni bora sana kwa kila mtoa shutuma kuwa na ushahidi usio shaka, vyengineyo shutuma zinaweza kutumiwa kama mtaji wa kisiasa na wa upande wa pili.
MY TAKE!
Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini"
Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji cha Aljazeera kilitoa data kuhusu tembo wa Tanzania kuuwawa na kuonyesha kwamba mwaka 2007 kulikuwa na jumla ya tembo 146,879 na mpaka mwaka jana 2014 tembo hao wameuwawa kwa asilimia 64% na kubaki tembo 56,000 tu...
Mytake: Hili suala la Kinana tulifikiri ni uzushi ila ukiona waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 kaliweka wazi mbele ya wananchi ni wazi hakuna ubishi tena katika hilo....
Huna sera wewe.
UKAWA wasichokozwe wakachokozeka. Ni bora sana kwa kila mtoa shutuma kuwa na ushahidi usio shaka, vyengineyo shutuma zinaweza kutumiwa kama mtaji wa kisiasa na wa upande wa pili.
MY TAKE!
ccm ni janga la kitaifa kama kipindupindu, dengue na ebola
Mh.Fredrick Sumaye (Waziri Mkuu Mstaafu) asema kama kipimo cha maadili ndani ya CCM ni Mangula basi yeye ni mtakatifu.
Chanzo;ITV
My take;
Kauli hii inamaanisha au inaashiria nini wadau?
Afadhali mara 100% Ebola, Kipindupindu, dengue kuliko CCM...
Nasema toka moyoni kabisa....!!!
Lowassa, Ukawa mpango wa Mungu