Sumaye we sumaye why sasa umekosa ya kusema,ulipokuwa waziri mkuu si ndo ungemkabili?kwa sasa ni sawa na majungu tu pole
Ndo hivyo jino Kwa jino ,mbona lowassa hawakumshitaki na kumtaja Kwa sheria ndiyo muhusika Richmond,na sasa ni kama majungu tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sumaye we sumaye why sasa umekosa ya kusema,ulipokuwa waziri mkuu si ndo ungemkabili?kwa sasa ni sawa na majungu tu pole
Wakuu kuuliza si Ujinga hivi hizo ni Pembe au Meno ya Ndovu?
Pili hua yanafanyia kazi gani au ni Malighafi ya kutengenezea bidhaa gani?
Ameomba kujua matumizi ya hizo bidhaa ajabu wewe upo bize na definitions za hizo nyara za serikali!?Tembo hana pembe, ana meno. Faru ana pembe (kwa kiswahili) lakini pia kisayansi alichonacho faru hakina sifa ya kuiita ni horn kwa sababu hakuna ivory. Ni mkusanyiko wa vitu tofauti kama ilivyo kwato.
Hawa sumaye na lowasa naamini baada ya uchaguzi watakuwa wakisogelea jela kwani wamehifadhiwa muda mrefu kwa ubadhirifu na wizi wa mali za umma lakini wamejisahau. Sasa ni wakati muafaka kama alivyoahidi Magufuli kuanzisha mahakama ya mafisadi na hawa ndio wawe washitakiwa wa awali kabisa kuanza kuitumikia mahakama hii mpya na hatimaye jela. Subira yavuta heri.
Mkuu kwani hiyo kazi ya kuua tembo wetu kaianza lini?Sumaye we sumaye why sasa umekosa ya kusema,ulipokuwa waziri mkuu si ndo ungemkabili?kwa sasa ni sawa na majungu tu pole
Huna sera wewe.
wakati wa sumaye ulisikia mauaji ya kishenzi ya tembo?miaka mitano iliyopita tembo wameuawa kwa asilimia 60 kuna uongzi au mfano wa uongozi?mnapelekwa tu kama mazuzu.ccm imekiuka misingi ya kuongoza hili taifa,haina budi iwapishe wengine.hakuna chama chenye hati miliki ya hili taifa.Sasa huyu sumaye kama kapagawa mwanzo aliona utani but sasa hivi ashajua ukawa kushinda uchaguzi ni shida so anaomba yatokee hata machafuko na yeye angemshughulikia alivokua Waziri Mkuu kama si unafiki ni nini na sura yake tu na macho unajua ni mtu wa aina gani.
Hawa sumaye na lowasa naamini baada ya uchaguzi watakuwa wakisogelea jela kwani wamehifadhiwa muda mrefu kwa ubadhirifu na wizi wa mali za umma lakini wamejisahau. Sasa ni wakati muafaka kama alivyoahidi Magufuli kuanzisha mahakama ya mafisadi na hawa ndio wawe washitakiwa wa awali kabisa kuanza kuitumikia mahakama hii mpya na hatimaye jela. Subira yavuta heri.
Kama ukimsikia Sumaye anasema kitu, wala usiwe na shaka. Tena hasa kama kitu chenyewe kinahusu sheria.Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini"
Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji cha Aljazeera kilitoa data kuhusu tembo wa Tanzania kuuwawa na kuonyesha kwamba mwaka 2007 kulikuwa na jumla ya tembo 146,879 na mpaka mwaka jana 2014 tembo hao wameuwawa kwa asilimia 64% na kubaki tembo 56,000 tu...
Mytake: Hili suala la Kinana tulifikiri ni uzushi ila ukiona waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 kaliweka wazi mbele ya wananchi ni wazi hakuna ubishi tena katika hilo....
Ameomba kujua matumizi ya hizo bidhaa ajabu wewe upo bize na definitions za hizo nyara za serikali!?
Wakuu kuuliza si Ujinga hivi hizo ni Pembe au Meno ya Ndovu?
Pili hua yanafanyia kazi gani au ni Malighafi ya kutengenezea bidhaa gani?
Swali ulilisoma au unarukia tu kufahamu unachotaka wewe? Lilikuwa na sehemu mbili kama ifuatavyo:
Mimi nimejibu ninachokifahamu. Siwezi kujibu nisichofahamu. Kama nawe una ufahamu kidogo ongeza badala ya kutafuta majibu toka kwangu.
wao hudai kila siku wanazushiwa
Ukawa kwa kupitia Mh Lowassa kampeini zimekuwa za kistarabu kuliko miaka yote hii ni dalili utawala unaamia upinzaini hakuna matusi ccm imekuwa sera zake ni matusi awajui kitendo hicho wanapunuza kura zao? mwaka huu wasipobadalika ccm inakuwa chama cha upinzani na makufuri ameisha washutukia wanaojifanya wanamuunga mkono mchana usiku wana mgeuka Hongera sana UKAWA Hongera sana Edward LowassaUkawa wanatumia mbinu za kisayansi kuendesha kampeni.
sumaye analipua mabomu na kwa akili za kawaida mtu kama sumaye wananchi wa kawaida watamuamini anayosema maana alikuwa waziri mkuu anajua kila kitu tofauti na slaa kama angezungumza wengi wasingeamini maana hakuwahi kuongoza serikalini.
lowassa anashambulia kwa sera ya kuleta mabadiliko ya maendeleo.
sehemu yoyote kwenye mkusanyiko wa watu ukikusanya maoni utakuta lowasa anakubalika kwa wastani mkubwa kupita jpm.
Jana kwa mara nyingine waziri Mkuu mstafu Ndg. F. Sumaye alimlipua katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi A. Kinana na kusema katibu mkuu huyo kwa muda mrefu amekuwa akijihusisha na uuzaji wa meno ya tembo (pembe za ndovu)... "Soma gazeti hapa chini"
Ilimbukwe kuwa mwaka jana kituo cha utangazaji cha Aljazeera kilitoa data kuhusu tembo wa Tanzania kuuwawa na kuonyesha kwamba mwaka 2007 kulikuwa na jumla ya tembo 146,879 na mpaka mwaka jana 2014 tembo hao wameuwawa kwa asilimia 64% na kubaki tembo 56,000 tu...
Mytake: Hili suala la Kinana tulifikiri ni uzushi ila ukiona waziri mkuu aliyekaa madarakani kwa miaka 10 kaliweka wazi mbele ya wananchi ni wazi hakuna ubishi tena katika hilo....
jamani kuna watu wa kuwajadili hapa lakini sio sumaye. sumaye uwaziri mkuu wake haukuwa tofauti na ukuu wa wilaya. No impact, No influence
Huna sera wewe.