Sumaye: Kinana anapiga dili za meno ya Tembo

UKAWA wasichokozwe wakachokozeka. Ni bora sana kwa kila mtoa shutuma kuwa na ushahidi usio shaka, vyengineyo shutuma zinaweza kutumiwa kama mtaji wa kisiasa na wa upande wa pili.
MY TAKE!
 
UKAWA wasichokozwe wakachokozeka. Ni bora sana kwa kila mtoa shutuma kuwa na ushahidi usio shaka, vyengineyo shutuma zinaweza kutumiwa kama mtaji wa kisiasa na wa upande wa pili.
MY TAKE!

Unataka ushahidi gani zaidi ya meli zake kukamatwa zikiwa na shehena za meno ya tembo??

Semeni sana na yote kuhusu ufisadi wa Lowassa au Sumaye. Mkishamaliza jamaa waanze kuanika wizi na ufisadi wenu wote!!

Halafu leo mnatuhadaa eti mtaleta "mabadiliko bora!!"...yapi hayo? Ya kuiba na kufanya ufisadi vizuri zaidi? Kuua tembo wetu vizuri zaidi?

Hey CCM stop pretending!!
 
Sumaye Muhongo Sana Tena Sana Kama Hamjui Ilo,
 
Your take; Yeees! But take the same counsel to the other side CCM, its 2 way traffic or Newtons 3rd law of motion, "to every action There Is an equal nd opposite réaction"; we have to Pay back in kind, Usitufundishe woga ma bro, hii ni Vita, knuckle to knuckle!!

UKAWA wasichokozwe wakachokozeka. Ni bora sana kwa kila mtoa shutuma kuwa na ushahidi usio shaka, vyengineyo shutuma zinaweza kutumiwa kama mtaji wa kisiasa na wa upande wa pili.
MY TAKE!
 
ccm ni janga la kitaifa kama kipindupindu, dengue na ebola
 
Sumaye very Goooooooood...!!!

Si kuna Meli mbili mwaka jana mwanzoni zilishikwa Singapore za Kinana, na alikiri ni zake ZIKEJAA PEMBE ZA TEMBO....

Zile meli ziko wapi...?

Safiiiii Sumaye....!!! Safiii jamani
 
ccm ni janga la kitaifa kama kipindupindu, dengue na ebola

Afadhali mara 100% Ebola, Kipindupindu, dengue kuliko CCM...

Nasema toka moyoni kabisa....!!!

Lowassa, Ukawa mpango wa Mungu
 
Mh.Fredrick Sumaye (Waziri Mkuu Mstaafu) asema kama kipimo cha maadili ndani ya CCM ni Mangula basi yeye ni mtakatifu.
Chanzo;ITV

My take;
Kauli hii inamaanisha au inaashiria nini wadau?
 
Mh.Fredrick Sumaye (Waziri Mkuu Mstaafu) asema kama kipimo cha maadili ndani ya CCM ni Mangula basi yeye ni mtakatifu.
Chanzo;ITV

My take;
Kauli hii inamaanisha au inaashiria nini wadau?

Kwani hufahamu kuwa Kinana ni mzee wa pembe (Nyara za taifa)?
 
Na kama huamini hilo subiri uone kama huyo Kinana atakuwa na guts za kumchukulia Sumaye hatua za kisheria, na ndiyo maana kila wakati wa chaguzi mbalimbali, CCM hutumia kila mbinu chafu ili kuhakikisha wanabaki madarakani kulinda uovu wao hauwekwi bayana. Hivi ndani ya CCM kuna kiongozi gani ambaye hajawahi kutajwa kwa ufisadi akachukua hatua ya kwenda mahakamani kwa kuchafuliwa jina? Si Mkapa, Kikwete, Chenge, Ngeleja ,Muhongo nk wote ni wamechafuka.
 
Hawa sumaye na lowasa naamini baada ya uchaguzi watakuwa wakisogelea jela kwani wamehifadhiwa muda mrefu kwa ubadhirifu na wizi wa mali za umma lakini wamejisahau. Sasa ni wakati muafaka kama alivyoahidi Magufuli kuanzisha mahakama ya mafisadi na hawa ndio wawe washitakiwa wa awali kabisa kuanza kuitumikia mahakama hii mpya na hatimaye jela. Subira yavuta heri.
 
jamani kuna watu wa kuwajadili hapa lakini sio sumaye. sumaye uwaziri mkuu wake haukuwa tofauti na ukuu wa wilaya. No impact, No influence
 
Afadhali mara 100% Ebola, Kipindupindu, dengue kuliko CCM...

Nasema toka moyoni kabisa....!!!

Lowassa, Ukawa mpango wa Mungu

Wewe lofa kajishughulishe upate rizikı sio unakaa vijiweni unapga umbea alafu njaa ınakung'ata alafu unaanza kulialia oh sijui CCM sijui Lowasa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…