Sumbawanga: Madereva Bajaj waandamana kisa CHADEMA kushindwa kuwalipa baada ya kukodishwa kumpokea Freeman Mbowe

Huo ni ujuha wa gagula bibi kizee aliyewapa bajaji sasa wanaogopa gagula bibi kizee atawanyang'anya.
 
Kumbe jamaa wanakodisha wahudhuriaji wa mikutano!!!

Hahaaa, sishangai, maana Dar Kuna watu wanakodishwa kulia misibani.

Ukiangalia mikutano ya chadema, watu wamevaa jezi za Simba, Yanga, hawana uhusiano na chadema
Bajaji zilikodishwa kama vyombo vya usafiri, hawajakodishwa watu kama hao wanaolia misibani.

Hata hivyo, hilo igizo lenu mmetengeneza vibaya, mmekosea script.
 
Kumbe jamaa wanakodisha wahudhuriaji wa mikutano!!!

Hahaaa, sishangai, maana Dar Kuna watu wanakodishwa kulia misibani.

Ukiangalia mikutano ya chadema, watu wamevaa jezi za Simba, Yanga, hawana uhusiano na chadema
chama gani tz kisichokodisha.....ccm ndiyo vinara hadi wasikilizaji wanakodishiwa usafiri na kulipwa ili wakasikilize. Hao wa sumbawanga walikodishwa kwa ajili ya mbwembwe tu za msafara wa mwenyekiti wao.

Hata hivyo Ikuwo lazima awalipe. ahadi ni mkataba na mkataba lazima utekelezwe
 
Jikite Kwenye mada
 
Tunaomba idadi yao na kiasi wanachodai , tumalizane nao sasa hivi .
 
Hakuna Bodaboda wala Bajaj aliyekuwa anadai hela maana bodaboda wa kukodiwa hawezi kwenda umbali wa km 22 na kurudi Kwa mafuta yake. Tafuteni uongo mwingine na hao waendesha Bajaj waliodanganywa na Aeshi kutunga uongo.
 
Endelea kutupa upande wa pili wa Shilingi
 
Mtu hadi afumbe macho ndio akumbuke cha kuongea.
No eye locking kuelekea kamera.
Watunzi wa Hadithi mmefeli.
Wewe uliwahi kuona bodaboda/Bajaj anaweka mafuta Kwa hela yake kwenda kumpokea mwanasiasa Kwa kukodiwa akitegemea kulipwa baada ya kurudi?
 
Mapandikizi ya CCM haya. Yasichoshe masikio yenu bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…