Sumbawanga: Madereva Bajaj waandamana kisa CHADEMA kushindwa kuwalipa baada ya kukodishwa kumpokea Freeman Mbowe

Nilitaka nisiseme kitu hapa, dereva anasema watoto na familia wanakufa njaa wakati huo huo hamna taarifa za uhakika kua mtu kafa kisa ajalipwa. Hivi kweli madereva hao awajui ofisi za CHADEMA au ata kwenda polisi?
Tatizo ni ujinga wa siasa zetu na siasa zetu ni ujinga wetu.
 
Anaejua body language vizuri aangalie vizuri video hii aone mtu yanavyo pacify ili kujipa unafuu wa kuongea.
Elfu kumi iwaweke hadi jioni... JE hesabu za boss zao ni sh ngapi?
Acheni dhulma, dhulma ni mbaya
 
Wameomba kibali cha kuandamanaa ?
 
UVCCM ni zaidi ya konokono, huo muda mngetumia hata kujisafisha miili yenu.
 
Baada ya comments nyingi zerooo mind zero mission not accomplish is unsuccessful 😝😝😝😡
 
Chadema wameamua kuwa wahuni siyo?
Pumbavu zao kabisa!
 
Mimi nawachukia sana chadema kwa sababu ya ujinga wao na mipango yao ila kwa hili mbona kama wamepangwa watu kuonyesha ujinga wa upande wa pili?
Na mimi nawachukia wajinga kama nyie. Ambao mkiambiwa jambo mnakubali bila kufanya uchunguzi.
 
Hawa ni uvccm
 
Ujinga umekujaa, kwani nani aliwahi kunyimwa fomu za kugombea na huku akiwa na sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…