Munch wa annabelletz47
JF-Expert Member
- Aug 13, 2019
- 1,885
- 3,227
Mmmh#HABARI Mtoto aitwaye Haruna Mwanakatwe anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka kumi (10) mwenye ulemavu wa viungo na mkazi wa mtaa wa Edeni B Manispaa ya Sumbawanga mkoani Rukwa ameuawa kwa kuliwa na Nguruwe nyumbani kwao.
Tukio hilo limetokea jana Juni 25, 2023, baada ya mtoto huyo kubaki ndani peke yake na kwamba alijisaidia na kukosa msaada hivyo inadaiwa Nguruwe aliposikia harufu ndipo alipoenda kuvamia chumba alichokuwepo mtoto huyo na kuanza kumshambulia miguuni, tumboni na sehemu za siri.
View attachment 2669540
#EastAfricaTV
Umeondika kwa hisia sana, inaumiza.Maumivu yake
Kilio alichotoa alipokuwa akinyofolewa nyama
Inauma sana kuliwa na mnyama ukiwa waona
Inauma sana ukijua unakufa na huna msaada
Mzee hii comment yako inachoma sanaMaumivu yake
Kilio alichotoa alipokuwa akinyofolewa nyama
Inauma sana kuliwa na mnyama ukiwa waona
Inauma sana ukijua unakufa na huna msaada
Sio hisia huo ni uhalisiaUmeondika kwa hisia sana, inaumiza.
Nguruwe wameanza lini kula watu? Au ni mgonjwa?
Au ni nguruwe mtu?!Nguruwe wameanza lini kula watu? Au ni mgonjwa?
Nguruwe akiwa na njaa huwa hajielewi kabisa, kitu chochote kinachopita mbele yake anachoweza kuua basi anakula. Iwe kuku, nyoka na sometimes hata watoto wake mwenyewe.Nguruwe wameanza lini kula watu? Au ni mgonjwa?
Ni sumbawanga !!Au ni nguruwe mtu?!
Duuh hatar sana basNguruwe akiwa na njaa huwa hajielewi kabisa, kitu chochote kinachopita mbele yake anachoweza kuua basi anakula. Iwe kuku, nyoka na sometimes hata watoto wake mwenyewe.
Mtoto ni rahisi kumkwepa nguruwe, huyo aliyeuawa alikuwa na ulemavu kwahiyo inawezekana hata kukimbia hakuweza.