Sumbawanga: Mtoto auawa kwa kuliwa na nguruwe

Akiwa na njaa huyo kabla hujaingia bandani rushia chakula kidogo kwanza ahamishe concetration. Ukiingia kabla ya chakula unaweza liwa wewe.
 
Maumivu yake

Kilio alichotoa alipokuwa akinyofolewa nyama

Inauma sana kuliwa na mnyama ukiwa waona

Inauma sana ukijua unakufa na huna msaada

Inauma mtoto kulia Mama nakufa, mama nakufa

Nisaidieni nisaidieni

Hakuna msaada hadi kifo kinamkuta anakufa bila msaada wa mama au baba au mtu yeyote yule.

Hayo madude ndo maana Yesu aliagiza yasiliwe.

Hapo limekula mtu afu litaenda liwa na watu

wapi yesu aliagiza wasiliwe?
 
Kumbe Bwana mkubwa alikataza hii kitu?
 
Back
Top Bottom