Sumbawanga: Mtoto auawa kwa kuliwa na nguruwe


Na wakati akipiga kelele za kuomba msaada kilio chake hakikuskika kuanzia kwa wazazi mpka majirani,, so sad
RIP young[emoji174]
 
Una kisirani sana na nguruwe kwa alikufanya nini??
 
Ukute waliona ni mzigo

Aiseee ila icho kifo sio kabisa yani, ni maumivu mazito mno ata ukianza kuvuta taswila ya tukio inaonesh ni jinsi gan huyo mtoto kateseka mpak kufa,,, anyway pole kwa wafiwa
 
Wagalatia mnalamba hio killer na ndizi nyie hatari aiseee
Mimi Nguruwe sigusi ila madem wala nguruwe nakula wakishaswaki
 
Mkiambiwa hao qanyama ni haramu, hamtaki.
Umenikumbusha mwaka 1994 wakati wa mauaji ya kimbari kule kwa jirani na mwaka 1996 wakati wa janga la kuzama meli yetu kule ziwa nyanza, kuna wadau walisusa kuwatafuna sato na sangara kwa kuwa walikuwa wanawala binadamu waliopoteza uhai.
 
Na inawezekana hata kuongea alikua hawezi kuongea dah...nimeumia sana kama mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…