Meja Jenerali Isamuhyo
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 3,709
- 10,896
Nyakati zinakimbia mkuuUmenikumbusha maisha ya uchimbaji miaka hiyo,,sunda nafikiri atakuwepo ila kachoka siyo kama zamani,,,wapi wakina chusa,machuru, na wengine wengi,,nyama choma getin
Chusa aliponea chupuchupu kuhukumiwa kifo kesi ya billionaire Msuya.Umenikumbusha maisha ya uchimbaji miaka hiyo,,sunda nafikiri atakuwepo ila kachoka siyo kama zamani,,,wapi wakina chusa,machuru, na wengine wengi,,nyama choma getin
MwanakarateDaaaa umenikumbusha na Rafiki Yangu Marehemu Henry Nyiti.
Asee Nyiti wa homu kabisa. Garden lake kabla hujafika tengeru limeandikwa welcome to Arusha God is good.Daaaa umenikumbusha na Rafiki Yangu Marehemu Henry Nyiti.
La mbele Jumba liliandikwa STAR OF DAVIDAsee Nyiti wa homu kabisa. Garden lake kabla ujafika tengeru limeandikwa welcome to Arusha God is good.
chalii wa ara Chaliifrancisco Bushmamy
Pale pamechoka kinyama siku hizi we chalii ya Sing'isi.Asee Nyiti wa homu kabisa. Garden lake kabla hujafika tengeru limeandikwa welcome to Arusha God is good.
chalii wa ara Chaliifrancisco Bushmamy
Sing'isi home kabisa nenda ukaniulizie watakuambia.Pale pamechoka kinyama siku hizi we chalii ya Sing'isi.
Vijana wameshindwa kupatunza,Mana nakumbuka kuna safari nilikutana na Nyiti SA akaniambia ameleta watoto chuo.Walikuwa Vijana wawili wakiumePale pamechoka kinyama siku hizi we chalii ya Sing'isi.
Hahaha yani nikikumbukaga enz hizo kuna mavolunteer flan wazungu bado machalii walikujaga wakaanzisha mashindano ya baiskel na tulivyowapapatikia basi maamae mimi kwa misifa nilinyonga bike kama sina akili nzuri hadi nikawa mshindi wa Kwanza. Nikafikiria zawadi itakuwa hela na labda laptop. Nikapewa kakadi kana picha ya teddy bear ina masahihi zao. MAAMAE Niliwamaind.Pale pamechoka kinyama siku hizi we chalii ya Sing'isi.
Sunda sio mkurugenzi wa Iraqw Mining LTD kweli?Ukisikiliza kibao cha “Rafiki” kilichoimbwa na Mr. Nice enzi hizo, utasikia akimtaja Sunda. Hakuimbwa kwa bahati mbaya.
Huyu jamaa ni miongoni mwa watu walioshika pesa za madini enzi hizo hapo Mererani.
Miaka imepita, sijamsikia.
Yuki wapi siku hizi? Je, bado ana kibunda kama zamani?
RIP Askofu Laizer
Inawezekana waliamua kukaa zao huko huko.Vijana wameshindwa kupatunza,Mana nakumbuka kuna safari nilikutana na Nyiti SA akaniambia ameleta watoto chuo.Walikuwa Vijana wawili wakiume
Rudi kwenu kenge wewe acha kubeba box za papai huko kwa wakoloni.Hahaha
Nimuulizie Maghayo Stresschallenger Busu la Kenge?Sing'isi home kabisa nenda ukaniulizie watakuambia.
Wee waulize tu loose nat mtaalam wa kufundisha samaki kuogelea yule ana meno yaliooza utadhani anang'ata mavi.Nimuulizie Maghayo Stresschallenger Busu la Kenge?