Super Cup: Madrid vs Barcelona

Super Cup: Madrid vs Barcelona

Tatizo la Real ni kwamba wanajua kabisa mziki wa Barca ni mzito na hawauwezi (Kama ulivyowashinda manure), sasa ili kuwapunguza makali inabidi wacheze Uruguay. Bila kucheza rafu wanalia kilio cha mbwa - mdomo juu!
 
At the end of the day score bord inasoma 2-2,
Bora lawama kaka
The special one knows what he wants and how to get it
 
Hehehehe! kuna huyu kiumbe anaitwa Alexis duh! noma yule anapiga chenga kundi la wachezaji wa RM sijui Guardiola kamtoa wapi yule
 
for the yesterday game alexis sanchez anajua ni mkali yaan kiwango chake mpaka messi alikuwa haonekani..
 
Ule mpambano ulioanza juzi Jumapili na kuishia suluhu ya 2-2, utaendelea tena leo saa 6 usiku (saa 5 kwa saa za Spñain).
Barca wana nafasi nzuri ya kuchukua kombe, tukitilia maanani uwezo wao kisoka tangu Pep Guardiola kuanza kuinoa timu hiyo, na zaidi; wana faida ya magoli waliyopata ugenini. Lakini tusipuuze uwezo wa Maurinho ambapo katika timu zote alizowahi kufundisha, ameshinda Super Cup ya nchi hizo. Hata hivyo, mwamuzi ni dakika 90 au 120 au hatua 11 za mtu mzima.

Tukio la kuvutia zaidi katika mechi hii ni kuwa inategemewa na wengi kuwa Guardiola atamruhusu Fabregas kucheza japo dakika chache katika mechi hii.

Nitakuwa nikiweka matukio muhimu yanayoendelea uwanjani kuanzia mwanzo hadi mwisho. Vile vile unaweza kuangalia mechi hiyo kupitia Televisheni ya Taifa ya Spain Supercopa en directo - Barcelona Madrid - RTVE.es (of course in Spanish).
 













[h=3]Match[/h]






[h=3]Match report[/h]
[h=4]Preview[/h]
2011-08-14_PARTIDO_04.JPG

[h=4]Camp Nou to decide the champion[/h] Anna Segura
FC Barcelona and Real Madrid are both looking to win the first trophy of the season tonight, the Spanish Supercup (23.00, TV3, La1 and R@dio Barça). With the help of a full Camp Nou, Barça could be lifting the eleventh trophy of the Guardiola era.
Three days after drawing 2-2 in the first leg at the Bernabéu, the two sides go head to head again in another edition of the clásico. It should be a thrilling evening in Barcelona's first appearance at the Camp Nou of the new season.

Slight advantage

The draw from the first leg means everything is still to play for, but Villa and Messi's goals in Madrid mean that Mourinho's side are going to have to score at least once if they want to prevent Barça from winning the trophy for the third year in a row. But we all know that sitting back and defending a result simply isn't the Guardiola way. This looks like being a night of plenty of goals.

Mystery eleven

Barça will not be announcing its line-up until an hour before the match. Xavi, Piqué, Busquets and Pedro all started the first leg on the bench, but could well be starting tonight. And after an impressive debut, many will be wondering whether we will be getting to see more of Alexis Sánchez tonight.

But the big question is Cesc Fàbregas, who trained for the first time with his new club on Monday and could make his debut tonight. If he does, we can be sure he will receive a rapturous welcome from the Camp Nou faithful.

Madrid on a high

Mourinho's side are confident that they can stop the Camp Nou party tonight. After finally arriving in Barcelona on Tuesday night, they have already shown on Sunday night that they are more than ready for the challenge, and all look in peak fitness, while some of the FCB players have only recently arrived back from their holiday.

Super cup number ten

If Barça win tonight, they will collect the Supercup trophy for the tenth time, and the third in a row after defeating Athletic Bilbao and Sevilla in recent editions. But they know it won't be easy, and in fact, they have lost all four Spanish Supercups when Madrid have provided the opposition. But if they can set that record straight, it would mean Guardiola has won an amazing 11 of the 14 official competitions in which he has led the team since becoming manager.
 
Ule mpambano ulioanza juzi Jumapili na kuishia suluhu ya 2-2, utaendelea tena leo saa 6 usiku (saa 5 kwa saa za Spñain).
Barca wana nafasi nzuri ya kuchukua kombe, tukitilia maanani uwezo wao kisoka tangu Pep Guardiola kuanza kuinoa timu hiyo, na zaidi; wana faida ya magoli waliyopata ugenini. Lakini tusipuuze uwezo wa Maurinho ambapo katika timu zote alizowahi kufundisha, ameshinda Super Cup ya nchi hizo. Hata hivyo, mwamuzi ni dakika 90 au 120 au hatua 11 za mtu mzima.

Tukio la kuvutia zaidi katika mechi hii ni kuwa inategemewa na wengi kuwa Guardiola atamruhusu Fabregas kucheza japo dakika chache katika mechi hii.

Nitakuwa nikiweka matukio muhimu yanayoendelea uwanjani kuanzia mwanzo hadi mwisho. Vile vile unaweza kuangalia mechi hiyo kupitia Televisheni ya Taifa ya Spain Supercopa en directo - Barcelona Madrid - RTVE.es (of course in Spanish).
tunataka kukata kiu ya makombe aliyonayo cesc leo ni zawadi tosha atapa viva barca
 
tunataka kukata kiu ya makombe aliyonayo cesc leo ni zawadi tosha atapa viva barca
Mimi ni mpenzi wa mpira na sio "fan" wa timu yoyote. Mara nyingi timu yangu ya kwanza ni ile inayotoka na ushindi uwanjani. In case of draw, ndio huangalia nani kacheza vizuri. Lakini linapokuja suala la Real Madrid vs Barca...ONLY Madrid-Barca, ninabakia Bernabeu!
Viva Real Madrid, pero que gane a quien se lo merece!
 
Ile siku yetu imewadia Jamani!
Who is going to win tonight?
 
karibuni wadau mechi ndo inaanza nitawapa updates mwanzo mwisho
 
Ngoma imeanza. Tunatarajia kuona mchezo safi.
 
Leo Barca kikosi cha ushindi ,Pique,Xavi na Busquet wanaanza.Fabregas na Sanchez benchi
 
  • 7' Who says this is a pre-season friendly? Both these sides really going for it. Would be a great way to begin the season with some silverware in the cupboard as Valdes picks up in the Barca goal.
  • 6' The Camp Nou is brimming with boos as Ronaldo picks up, but there are cheers seconds later when the same man wallops over the bar. Well over. What a start to this one.
  • c4.png
    5' Busquets is clattered by Carvalho. That was late and dirty, but the referee waves play on. Barca on the ball as Busquets is caught offside. Alves complaining about that decision.
  • 4' Villa guilty of a foul on Pepe and Real can launch another attack. All very quick at the moment.
  • c4.png
    3' Di Maria tries to play in Benzema, but the French striker is just offside. Real Madrid really carrying the game to the home side. Don't see that too ofen at the Camp Nou.
  • c2.png
    2' What a start! Ronaldo flashes a shot at goal that Valdes beats out before he flicks a volley wide from a corner seconds later. Real on the attack.
  • half4.png
    1' Barcelona get the match off and running. What an atmosphere. Barcelona start with the same side that won the Champions League final.
 
Dah raha sn kuangalia hawa jamaa wakipambana
 
Mpaka sasa Barca wanaonesha kumiliki mchezo.
Iniesta anaipatia goli la kwanza.
 
Back
Top Bottom