saigilomagema
JF-Expert Member
- Jun 5, 2015
- 4,683
- 7,222
Shida ni ushamba na ulimbukeni, supermarket ni duka km maduka mengine. WaTZ wanachukulia maduka ya wenye nazo wakati kwa wenzetu hata pale Estwani hata mahindi ya kuchoma huuzwa supermarketSuper Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli.
View attachment 2857270
Umeongea issue sahihi sana..kwa wa Tz wengi mindset ni kua supermarket ni sehemu ya watu wa status flani, ni kama prestige kununua vitu .Shida ni ushamba na ulimbukeni, supermarket ni duka km maduka mengine. WaTZ wanachukulia maduka ya wenye nazo wakati kwa wenzetu hata pale Estwani hata mahindi ya kuchoma huuzwa supermarket
Sasa ingekuwa hivyo Wamarekani wote si wangekufa?Halafu bidhaa zote zinazo tengenezwa na zikauzwa kwenye hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa na binadamu zinaleta maradhi ya Kansa, Kisukari, Unene, wa kupitiliza Presha na maradhi mengine mbalimbali kiafya bidhaa zinazouzwa katika hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa kabisa.
HahahaNimetumia akili ya wendawazimu unaonaje akili yangu? ipo sawa wewe mwenye akili zaidi yangu?
Cc Isanga familyShida ni ushamba na ulimbukeni, supermarket ni duka km maduka mengine. WaTZ wanachukulia maduka ya wenye nazo wakati kwa wenzetu hata pale Estwani hata mahindi ya kuchoma huuzwa supermarket
Imekuwaje Leo mjukuu wako unamwita mwanao?Marahaba hujambo mwanangu?
Ifate nini huko, hata makaya wabongo hawauziki hukoHata chibuku au safari lager ni ghali sana ukiikuta kule marekani.
Upo sahihi kwa mangi, muha, mgosi mtaani ndio mwokozi. Yaani super market ni kama eneo la anasa bongo, vitu Bei juu wakati wao wananunua kwa jumla madukani makuu au viwandani. Nchi za Kusini mwa Afrika wananchi wao wote wamezoea supermarkets nenda tu hapo Tunduma Mpakani ukivuka duka unakuta ni kubwa, bidhaa chee.Supamaket tunaenda kuuza sura tu.... Mahitaji mengi kwa mangi
Mkuu torch fake ya mchina unaikuta supermarket inauzwa 15,000 ukienda Kariakoo au kwa machinga unaikuta ileile 5,000 tu.Nadhani usafirishaji wa bidhaa kutoka nje ndio unaongeza bei ya bidhaa.
HIZO BIDHAA ZOTE NI IMPORTED GOODS
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Za wapi zinafaa kuliwa? Unajua kwa mangi ni hatari zaidi maana kule viki expire wanafuta tarehe.Halafu bidhaa zote zinazo tengenezwa na zikauzwa kwenye hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa na binadamu zinaleta maradhi ya Kansa, Kisukari, Unene, wa kupitiliza Presha na maradhi mengine mbalimbali kiafya bidhaa zinazouzwa katika hayo Maduka ya super Market hazifai kuliwa kabisa.
Niliulizia kahawa ( instant coffee) ya Tanzania SA,. maana ndo inayopendwa zaidi bei ilikuwa almost 4timesKaam unajuwa lugha ya kiingereza msikilize huyo mzungu anacho kisema utajuwa kuwa ni bei rahisi au ni bei ghali?
alitaka vitu viwe cheap wakati hatutengenezi sisi weneywe hapa? nilishawahi kuishi nchi moja kubwa huko magharibi, nilikuwa nakula samani kwa bei rahisi kuliko hawa ninaonunua hapa.au labda ilikuwa nchi ya kisiwa. nyama bei rahisi, iwe ya sungura, ng'ombe, mbuzi.makuku ndio huwa siyapendi.Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli.
View attachment 2857270
Tupe huo mfano wa hiyo tochi..then angalia pia na location na masuala ya kodi..usifananishe bei ya chinga na bei ya supermarketMkuu torch fake ya mchina unaikuta supermarket inauzwa 15,000 ukienda Kariakoo au kwa machinga unaikuta ileile 5,000 tu.
Kuna shida flani labda gharama za wafanyakazi, nyinginezo zinasababisha bei aghali.
Ndio Mkuu, nahisi gharama za uendeshaji wa Supermarket zinachangia bidhaa kuwa juu.Mkuu torch fake ya mchina unaikuta supermarket inauzwa 15,000 ukienda Kariakoo au kwa machinga unaikuta ileile 5,000 tu.
Kuna shida flani labda gharama za wafanyakazi, nyinginezo zinasababisha bei aghali.
Ela yenyewe ya ugali tembele haitoshi, sasa mtu aende super market kufanya nini?Shida ninyingi, moja wapo ni mindset kwamba supermarket ni kw vibosile, wakishua.
Hata mkate na sabuni Mbuni pia imported?Nadhani usafirishaji wa bidhaa kutoka nje ndio unaongeza bei ya bidhaa.
HIZO BIDHAA ZOTE NI IMPORTED GOODS
KaziKweliKweli/JobTrueTrue