Super Market za Tanzania ni ghali sana kuliko za Marekani. Mzungu huyu anasema ukweli

Shida ukitaka kutoa mzigo hapa mazee kupata vibali vyake utazunguka balaa kama vile Nchi haipati kitu kuleta hivyo hivyo kutak kufanya uwekezaji ndani hivyo hivyo yaani mazingira ya rushwa yapo mbele zaidi..
Nchi yetu kutokuwa na maendeleo na kukosa hela za kigeni hizo ndio sababu, na Viongozi wa juu wala hawajali wao ni Siasa tu na kuwakaba watu masikini kwa Kodi zisizokuwa na mpangilio
 
Yaani bidhaa iagizwe toka Marekani, ilipiwe usafiri na kodi, halafu isiwe ghali kuliko Marekani?
Sababu si hiyo tu, mbona bidhaa za kutoka 🇿🇲, Tunduma zinauzwa kwa bei nzuri kuliko, while zimepita bandarini Dsm?

Pia nimeshawahi kusikia, nguo za kutoka 🇺🇬, zilizopita DSM, zina bei rahisi kuliko za kwetu.
 
Nchi yetu kutokuwa na maendeleo na kukosa hela za kigeni hizo ndio sababu, na Viongozi wa juu wala hawajali wao ni Siasa tu na kuwakaba watu masikini kwa Kodi zisizokuwa na mpangilio
Tuna bidhaa nyingi tunaweza kuzitoa na tukapata usd za kutosha pana watu walikua wanapeleka Asali tu Russia sijui waliishia wapi maana ili watoe muda mwingine walikua wanapitishia Nairobi hakuna usumbufu...Ardhi tunayo kubwa badala ya kutenga eneo moja kubwa kwa ajili ya uwekezaji tuuze mahindi au maharage horn of Africa huko wao wapo busy kukataza bidhaa zisitoke nje bila kutengeneza mazingira ya kuongeza uzalishaji...maharage ya kupandwa tu nayo tunayafanya dhahabu..
 
Sababu si hiyo tu, mbona bidhaa za kutoka 🇿🇲, Tunduma zinauzwa kwa bei nzuri kuliko, while zimepita bandarini Dsm?

Pia nimeshawahi kusikia, nguo za kutoka 🇺🇬, zilizopita DSM, zina bei rahisi kuliko za kwetu.
Cha kushangaza ingekuwa bidhaa toka Marekani ziuzwe hapa kwa bei rahisi zaidi, inawezekana ila ingekuwa ni jambo la kushangaza. Ila kinyume chake yeye anashangaa kitu ambacho sio cha kushangaza, maana ndiocho tunategemea kwamba bidhaa Tz iwe bei kuliko USA.
 
Tuna bidhaa nyingi tunaweza kuzitoa na tukapata usd za kutosha pana watu walikua wanapeleka Asali tu Russia sijui waliishia wapi maana ili watoe muda mwingine walikua wanapitishia Nairobi hakuna usumbufu...Ardhi tunayo kubwa badala ya kutenga eneo moja kubwa kwa ajili ya uwekezaji tuuze mahindi au maharage horn of Africa huko wao wapo busy kukataza bidhaa zisitoke nje bila kutengeneza mazingira ya kuongeza uzalishaji...maharage ya kupandwa tu nayo tunayafanya dhahabu..
Wao watakuambia chakula kinahitajika ndani
Wanajua kila kitu ila ni roho zao za kikatili Mito 19 nchini hata hazifanyiwi chochote wamebaki kukataza tu
Nchi mbaya sana
 
Back
Top Bottom