Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Nchi yetu kutokuwa na maendeleo na kukosa hela za kigeni hizo ndio sababu, na Viongozi wa juu wala hawajali wao ni Siasa tu na kuwakaba watu masikini kwa Kodi zisizokuwa na mpangilioShida ukitaka kutoa mzigo hapa mazee kupata vibali vyake utazunguka balaa kama vile Nchi haipati kitu kuleta hivyo hivyo kutak kufanya uwekezaji ndani hivyo hivyo yaani mazingira ya rushwa yapo mbele zaidi..